Rooms available...zinapangishwa

Rooms available...zinapangishwa

galaxy 14

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
27
Reaction score
7
:sly::sly::sly::sly:
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1374079510895.jpg
    uploadfromtaptalk1374079510895.jpg
    29.9 KB · Views: 409
  • uploadfromtaptalk1374079552204.jpg
    uploadfromtaptalk1374079552204.jpg
    18 KB · Views: 338
  • uploadfromtaptalk1374079578804.jpg
    uploadfromtaptalk1374079578804.jpg
    30.9 KB · Views: 336
  • uploadfromtaptalk1374079605116.jpg
    uploadfromtaptalk1374079605116.jpg
    15.6 KB · Views: 324
  • uploadfromtaptalk1374079635590.jpg
    uploadfromtaptalk1374079635590.jpg
    27.5 KB · Views: 341
  • uploadfromtaptalk1374079674779.jpg
    uploadfromtaptalk1374079674779.jpg
    15.9 KB · Views: 212
  • uploadfromtaptalk1374079719935.jpg
    uploadfromtaptalk1374079719935.jpg
    15.7 KB · Views: 213
Sio guest ni room za kawaida za kuishi for single person...like mwanachuo hivi..si wote tunapenda kubanana room moja watu wanne au sita.....some need privacy....
 
Mbona picha zenyewe kama zimepigwa kwa kujiiba vile?
 
Si lazma uwe unasoma ht km unawork poa..but mtu mmoja insisted
 
mkuu picha mbona umezigeuza .. umeficha nini
 
1) sijapiga kwa kujificha ndio maana mpk ndani nimepiga...hiyo nyumba ni mpya so kuna some parts kulikua na vifaa vya fundi so sikuona sababu ya kuharibu picha
2)sijafanya kusudi kuzigeuza as zilikua sawa wakt naziupload mara nakuta zimejigeuza...ila pic si zinaonekana
 
weka kodi na namba ya simu,
sema pia vyumba vipo vingapi
sema pia kama chumba na sebule
sema pia kuna umbali gani kutoka barabara kuu
 
1) sijapiga kwa kujificha ndio maana mpk ndani nimepiga...hiyo nyumba ni mpya so kuna some parts kulikua na vifaa vya fundi so sikuona sababu ya kuharibu picha
2)sijafanya kusudi kuzigeuza as zilikua sawa wakt naziupload mara nakuta zimejigeuza...ila pic si zinaonekana

Maziwa sehem gani? Nyumba ina uzio {parking}? Bei gani
 
Weka bei basi,unaficha ficha kama mikataba ya ssm
 
Pia sema size ya vyumba (square m). Term and condition uliyoweka ni moja tu kwamba mtu mmoja, kwa hiyo nikiwa na mke siruhusiwi. Kama sijaoa, kipotable changu pia marufuku? Ni no smocking zone? No kitimoto? au mashariti haya yatatolewa baada ya wewe kupokea chako.
 
Room 1?? Kwa mwanafunzi tu maana ukiweka set ya sofa hata pa kuweka meza patakosekana.
 
Jamaa anakwepa kusema kodi sijui ni dalali anaona aibu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom