Lavan Island JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 2,378 Reaction score 2,057 Nov 13, 2015 #1 Habari za humuJF, Natafuta room na sebule niweze kupanga maana huku nnapo ishi hali sio nzuri . Tafadhali nisaidieni haswa maeneo ya Tabata, Ubungo, Kigamboni. Uwezo wangu elfu 80 kwa room 2.
Habari za humuJF, Natafuta room na sebule niweze kupanga maana huku nnapo ishi hali sio nzuri . Tafadhali nisaidieni haswa maeneo ya Tabata, Ubungo, Kigamboni. Uwezo wangu elfu 80 kwa room 2.
Rangi za nyumba Member Joined Nov 5, 2015 Posts 86 Reaction score 23 Nov 13, 2015 #2 Haaaa hipati kwa bei hiyo maeneo unayo taja labda ujaribu gmboto au mbagara