Ronaldo na mkewe ..............

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741





[TABLE="width: 1010"]
<tbody>[TR]
[TD][TABLE="width: 1005"]
<tbody>[TR]
[TD][TABLE="width: 685"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]


[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]


[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]


[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]



[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
tungekuwa tunalelewa kama vijana wa Brazil hivi sasa kina zamoyoni, Omari Hussein, Jella, Tino, Gaga, Fumo, Masatu, masha, Nteze na Lunyamila wangekuwa ni vijana matajiri sana wangekuwa na majumba ya kisasa kule mbezzi Beach na magorofa ya Biashara Kariakoo. Lakini bwana wee, Ujamaa na kujitegemea na azimio la Arusha limewakumba vijana wetu na sasa ona hali ya maisha yao ni masikitiko matupu. WEst africa waligundua madhara ya ukomunist au Ujamaa na kujitegemea ndio maaana waliwapindua kina Kwame, , Lumumba, Nguabi, mengishtu,Multara,na vibaraka wote wa Urrusi. sasa hivi wewe angalia baada ya kufa kwa ujamaa na kujitegemea na shetani lake la Azimio la Arusha, ona soka inavyotajilisha vijana wetu! lazima tulaaani sana ujamaa na kujitegemea la sivyo utarudi tena .
 
Kweli ww Tango, Tena Tango pori. Nawashauri ndugu msilile sumu hili pori.
 





[TABLE="width: 1010"]
<tbody>[TR]
[TD][TABLE="width: 1005"]
<tbody>[TR]
[TD]

[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
Mke ana (sura nzuri sana + smile) = Kunimaliza kabisa kabisa.
 
Huyu ndiye Ronaldo de Lima ninayemkubali mpaka kufa.
Jamaa kwenye fabo alikuwa balaaaaaaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…