Hehehehe...haya bana..
Ukiangalia sana wanaochonga sana Real Madrid ni wareno Maurinho na C Ronaldo. Wanachonga sana hawa....Ingekuwa soka ni kuchonga, Ureno ingetawala soka la Dunia.
hawachongi mkuu....
the fact ni kwamba haki haitendeki kabisa wakati wa EL CLASSICO...!haki ikifuatwa real madrid lazima ashinde
hata ile mechi ya bernabeu mpango wa ''the special one'' ulikuwa ni kumuingiza kaka dakika ya 70 akafunge goli la counter-attack (he was born to do that)....!lakini kama ulivyoona dakika za 60 marefa wakaamuliwa kumuondoa PEPE...!na ukiangalia sana PEPE ndie beki pekee aliyemsimamisha messi...!na alivyotolewa kwa amri ya U.E.F.A uliona kilichojiri
HAKI HAIKUTENDEKA MKUU
maurinho na cristiano wana point
UCL Winner 2011/12: Manchester United . . . :third:
Kwa hiyo marefa walijua Kaka ataingia dakika ya 70? Nyimbo za Maurinho mtaziitikia chorus zake sana.
Sasa Kama PEPE amecheza rafu dakika ya 60 alitakiwa asiadhibiwe kwa kuwa Kaka ataingia dakika ya 70 akafunge bao?...Yaani watu wacheze rafu wasiadhibiwe? Mi si shabiki wa Barca lakini, lazima tuseme ukweli, Wametawala soka la dunia na wachongaji juu yao wameongezeka hasa baada ya Maurinho kutua Madrid.
bana n'kuba kama uliicheki ile game vyema utagundua tu kwamba zile faulo zilizotolewa kwa wachezaji wa madrid ni za kupikwa....!ukiangalia sana utanote namna wakatalunya walivyomshika refa masikio wakawa wanajiangusha angusha tu....!utaona wazi kwamba madrid pekee walikuwa na yellow tano kwenye ile game ya kwanza..na waliitumia loophole hio hio kumzawadia yellow ya pili pepe kwakuwa walijua wazi kwamba ''the special-one'' anaelekea kuubadilisha mchezo dakika 20 za mwisho...(hio ni formula yeke mkuu)
labda ujiulize tu:
-kwanin barsa hakushinda second leg ambayo ilichezwa camp-nou?(na alichezesha kikosi kile kile...wakati huo huo madrid walikuwa bila pepe,adebayor na higuan)?
mkuu jaribu kufuatilia comments za football men wakina wenger,harry redknapp na wengine wengi kuhusu UDHAIFU MKUBWA UNAOONYESHWA NA WAAMUZI wakati wa mechi za EL CLASSICO
Wenger si ndio wale wale?....
Soka bana, chama linapokuwa na vifaa vikali watu wanaposhindwa kustahilimi mkikimkiki, solution inayobakia ni kucheza rafu. Na ndicho walichokifanya Real. rafu za kijinga.
Kutoshinda Nou Canp ni sehemu ya soka, kama ambavyo Real walivyoshinda kombe mbuzi la mfalme. Na kama ni kubebwa pale ndipo Barca ilikuwa ibebwe zaidi. Kwakuwa Barca hawakushinda hakuna aliyechonga. Angeshinda ungesikia ya kusikia.
Ukweli ni kuwa Barca ni Timu bora zaidi duniani kwa sasa. Na Timu bora ndiyo huwa inashinda. (kama ambavyo Liverpool inashinda hivi sasa....Timu bora kabisa).
Wenger si ndio wale wale?....
Soka bana, chama linapokuwa na vifaa vikali watu wanaposhindwa kustahilimi mkikimkiki, solution inayobakia ni kucheza rafu. Na ndicho walichokifanya Real. rafu za kijinga.
Kutoshinda Nou Canp ni sehemu ya soka, kama ambavyo Real walivyoshinda kombe mbuzi la mfalme. Na kama ni kubebwa pale ndipo Barca ilikuwa ibebwe zaidi. Kwakuwa Barca hawakushinda hakuna aliyechonga. Angeshinda ungesikia ya kusikia.
Ukweli ni kuwa Barca ni Timu bora zaidi duniani kwa sasa. Na Timu bora ndiyo huwa inashinda. (kama ambavyo Liverpool inashinda hivi sasa....Timu bora kabisa).
UCL Winner 2011/12: Manchester United . . . :third:
LONDON, England
WINGA wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amesema Barcelona ni klabu kubwa duniani lakini inaongoza kwa kubebwa.
Ronaldo anaungana na kocha wake, Jose Mourinho kuilaumu timu hiyo baada ya kutolewa kwa jumla ya mabao 3-1 baada ya sare ya 1-1 katika mchezo wa marudiano kwenye Uwanja wa Camp Nou juzi.
Barca ilishinda mabao 2-0 mchezo wa kwanza kwenye Uwanja wa Bernabeu huku beki wake, Pepe na kocha Mourinho wakipokea kadi nyekundu.
Madrid ilifunga bao kupitia kwa Gonzalo Higuain lakini lilikataliwa na Ronaldo alisisitiza kusema Barcelona si timu ya kutisha na kucheza katika kiwango chake.
"Hii ni mipango," Ronaldo aliwaambia waandishi wa habari baada ya mechi.
"Tulijua mambo haya yatatokea. Tumekuwa tukiishi na vitu hivi. wamepora haki yetu kucheza fainali kwenye Uwanja wa Bernabeu. Hata hapa, mambo ni yale yale.
"Kuna vitu vingi. Vilivyotokea Bernabeu, vilivyotokea hapa, Ni vitu vya kutafakari. Barcelona ni klabu kubwa, lakini kuna vitu nyuma yake. Ni ngumu kucheza mkiwa 10 baada ya kadi nyekundu na Barcelona, leo hii unakataliwa bao."
Ngoja tumalize kwanza hii ya mwaka huu UCL 2010/11 then mwakani ndio tutajadili hili la kwako la Man U kuwa bingwa 2011/12 !!!
Ubingwa wa mwaka huu wa UCL utakuwa season 2010/11? You must be kidding my boy!
Usiwe mbishi wewe!Kwani hii tournament ni ya season ipi ndugu yangu ? Au tafsiri ya mambo tunatofautiana ? Kwahiyo bingwa wa UCL 2010/2011 ni Inter Milan ?
Usiwe mbishi wewe!