kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
Barca wanabebwa saana tu
Uone aibu kwa kubebwa,huo ni ufisadi katika kabumbu,Barca wamekuwa kama wanashindia uji au mdebwedo wakiguswa tu chali chini kama mende,na kuanza kulia kuanzia mchezaji aliyejiangusha hadi kocha hadi kwa mashabiki wote hao hulazimishwa refa atoe adhabu,hiyo ni tabia mbaya hadi Mascherano nae kafundishwa kujirusha na kulia kulia kama mtoto,udume wote kaucha Liverpool sasa kawa mdebwedoNdio tunabebwa
Uone aibu kwa kubebwa,huo ni ufisadi katika kabumbu,Barca wamekuwa kama wanashindia uji au mdebwedo wakiguswa tu chali chini kama mende,na kuanza kulia kuanzia mchezaji aliyejiangusha hadi kocha hadi kwa mashabiki wote hao hulazimishwa refa atoe adhabu,hiyo ni tabia mbaya hadi Mascherano nae kafundishwa kujirusha na kulia kulia kama mtoto,udume wote kaucha Liverpool sasa kawa mdebwedo
sio mnazi wa real madrid per say lakini ukweli upo wazi kabisa BARSA WANABEBWA SANA TU.....!
BARSA WAMEUTIA DOA KUBWA SANA MCHEZO WA SOKA
Man U nao wanabebwa sana tu. Sasa tuone nani atakayebebwa zaidi Wembley.:third:
Man U nao wanabebwa sana tu. Sasa tuone nani atakayebebwa zaidi Wembley.:third:
mtoto wa nyumbani lazima apewe kipaumbele ukizingati fainali
ha ha ha!
too personal!
na liverpool nayo inabebwa sana