Na me nimeiona hiyo, its a sign kwamba Brazil bado hawana team for 2014, wachezaji wanaocheza kwenye vilabu vikubwa hasa vya ulaya ukiwaangalia hata hawafanani na the real samba boys, wa kawaida mnoo, apart from Thiago Silva, simuoni mbrazil wa kubishana na Wajeruman, Waspain n.k ndio maana big Phil kaona bora Dinho awepo kikosin awafunde kidogo kina Oscar, Neymar and co.