Ronaldinho - Tapeli wa Soka!

kwi kwi kwi Companero na Gang Chomba bifu lao still linasonga tu. Ngoja aje mwenye nabii wake
 
Yaani nilifungua hicho kideo kwa bashasha nikijua labda hatimaye Ronaldinho karudi fomu na yuko tayari kuingia dimbani Maracana 2014 kumbe lo uviziaji na wizi mtupu!

Yaan me niliiona juzi the sun, nikadhan labla kamkatia mtu mauno kama kawaida yake kumbe kaamua kuwa kibaka uwanjani,
what a "SAINT"
 
Kumbe ukiisha kisoka kudesa na kutapeli uwanjani ndio dili!

[video]http://uk.eurosport.yahoo.com/video/ronaldinhos-cheeky-assist-212019514.html[/video]

Watch the video - Sports UK

Yaani nilifungua hicho kideo kwa bashasha nikijua labda hatimaye Ronaldinho karudi fomu na yuko tayari kuingia dimbani Maracana 2014 kumbe lo uviziaji na wizi mtupu!

Yaan me niliiona juzi the sun, nikadhan labla kamkatia mtu mauno kama kawaida yake kumbe kaamua kuwa kibaka uwanjani,
what a "SAINT"

Jitahidini kujifunza sheria za soka. Hakuna offside kwenye mpira wa kurusha. Hao mabeki ndio wabovu, walipaswa kumkaba, sio kosa lake Dinho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…