Kwa hiyo kwa akili yako unadhani Messi aliweka masaburi chini kama unavyoweka wewe ukiwa unaandika jealous zako halafu akaletewa tuzo?
Ndoo ya dunia ni ya timu sio ya mchezaji. Kama ulivyosema wanapiga nayo picha, lkn Messi ye mavitu yake anayo kabatini, mwaka wako huu, kama sio shinikizo la damu basi utakufa kwa sononi.
Huyo kapiga picha na kombe mwenzake anamiliki makombe
Jamani ubishi wa nini Gaucho ni 99horse power si mchezo, Dogo anacheza sn lkn kweli hwezi wala hatakuja mfikia kifaru awapo uwanjani Gaucho, akili nyingi na alikuwa akitumia miguu yt, jamaa si mchezo lazima tukubali, kufunga au kuongoza magoli mengi kwa Dogo messy nikuwa hana washindani kama wakati wa huyu Kifaru Dume alipokuwa uwanjani, kila mtu alitamani kuona nn atafanya.
Ukweli utabakia ukweli.

Na hiyo so called "99horse power" kwa nini alishindwa kushine akiwa Italy na AC Milan? even hata kwa team yake ya Taifa was a shadow of a man who played at Barca
mzee wangapi katika list hii walichukua Ballon D'or???
Usikurupuke.
Alikwambia nani Gaucho kachemsha AC Milan?
Angekuwa kachemsha watu walingelala katika Barabara kuu ya Turati iingiayo katika uwanja wa kihistoria wa San siro Meazza.
Dinho ni habari nyingine kijana.

Unajua huyu Gang Chomba anabase sana kwenye magazeti na mitandao na anasahau kuwa hao wanaoandika pia wana utashi wao na mapenzi yao kwa mchezaji fulani. Kwanza tunafanya makosa sana kuwalinganisha hawa wachezaji maana wakati dinho akiwika messi alikuwa bado mtoto na wakati messi anawika dinho ameshakuwa mzee, sasa unalinganishaje ufanisi wao. Ni sawa na kulinganisha performance ya ATC (kabla ya Precisiona air) na Precision (Kipindi hiki ambacho ATC inachechemea). Anyway we can look some factsHuwezi kumlinganisha messi na dinho! Messi ni namba nyingine na sijui ni mwaka gani atapata mpinzani! Huyu atachukua uchezaji bora hata mara tisa, na atachukua hadi achoke. Gogo ana kipaji sana, na anajiheshimu, na anauheshimu mpira. Dinho kipaji chake kimeonekana akiwa 25yrs huku messi ameanza kupata mataji akiwa na 13 yrs. Kama watu hamjui vipaji kaeni kimya!
Huwezi kumlinganisha messi na dinho! Messi ni namba nyingine na sijui ni mwaka gani atapata mpinzani! Huyu atachukua uchezaji bora hata mara tisa, na atachukua hadi achoke. Gogo ana kipaji sana, na anajiheshimu, na anauheshimu mpira. Dinho kipaji chake kimeonekana akiwa 25yrs huku messi ameanza kupata mataji akiwa na 13 yrs. Kama watu hamjui vipaji kaeni kimya!
Gaucho Mnyama alikuwa mchezaji kutoka sayari nyingine, ili kuwa ameletwa na Mungu kuonyesha kama kwenye sayari nyingine kuna vitu vikubwa kuzidi hivi tunavyoona hapa duniani.
Gaucho ndio mchezaji alikuwa ana uwezo wa kukubembeleza kukupiga chenga au kukulazimisha kukupiga chenga.
Gaucho ndio mchezaji ambaye aliweza kusababisha baadhi ya wachezaji kuuzwa kwenye timu nyingine kutokana na yale aliyoweza kuwafanyia uwanjani.
Gaucho amebarikiwa

This is totally silly comment! Unaposema sayari nyingine una maana gani? Jamani humu naona kuna mashabiki wa mpira na si wapenzi wa mpira!
hitimisho ni kuwa kila alichokishinda Messi basi Gaucho alisha kishinda.
Lakini kuna alichokishinda Gaucho huyo Messi hajawahi kukishinda.
So kwa niaba ya wamiliki wa Jamii forums, pia kwa mamlaka niliokabidhiwa na mtoa mada ndugu Yo Yo, na wachangiaji woote waliochangia thread hii napenda kumpa kura zoote za ushindi nabii wa Soka Ronaldinho gaucho ambaye ni WORLD CUP WINNER.
Narudia tena WORLD CUP WINNER.
Asanteni.
HITIMISHO...
1. Messi has fast reactions to when people are
trying to tackle him and runs the opposite way
1. Ronaldinho has the skill to go right past them 2. Messi takes good shots from outside the box
mostly
2. Ronaldinho penetrates the defence and scores 3. Messi brings out the best in himself
3. Ronaldinho brings out the best in himself as
well as his teammates 4. Messi is shining very well as a player
4. Ronaldinho was twice as good as Messi when
he was his age (he is older than messi and is still
shining)!
So the answer of who is better is obvious,
Ronaldinho is better in a million years even
though he is not as young as Messi...