Ronald Reagan described a Tanzanian delegation as "monkeys" in a call with then-President Richard Nixon

Kule Youtube kuna zile video za anecdotes za Reagan akiwapiga madongo Warusi na siasa zao za kijamaa.

Reagan ni mmoja wa wanasiasa waliofanya Afrika ya Kusini ikachelewa kupata uhuru, alikuwa rafiki wa karibu wa kaburu Pik Botha.
 
"excuse me,I have an important announcement to make!! Jesus was black,Ronald Reagan was the devil and the government is lying about 9/11!! Thank you and enjoy"-Huey Freeman (The boondocks-its a garden party)
Hahahaha kina Uncle Ruckus ni vichaa wale
 
Mwalimu kwa nguvu kubwa aliishi na kuamini katika utu na usawa. Haya matusi ya Reagan ni hasira alizokuwa nazo kww Nyerere baada ya kumdhibiti kwenye mpango wake wa kuizuia China isiwe na kiti cha kudumu kwenye baraza la usalama. Hapa, viongozi wote wa kiafrika kwa wakati huo walisikilizia upepo wa mwalimu na hivyo kumuunga mkono. Nguvu hii ya mwalimu iliwaumiza sana wazungu na hasa huyu Reagan.
La kujiuliza, hawa wachina wa leo wanajua tuliitwa nyani kwa sababu yao? Au nao wameungana na wale jamaa kuwamaliza nyani?
 
Watu wengi wasichokijua ni kuwa hii ndiyo sababu kubwa ya kukataliwa kwa Dr. Salim kuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa. Pia ndiyo sababu ya kudorora kwa uchumi wetu kutokana na kunyimwa mikopo ya IMF/WB wakati wa utawala wa Reagan, mwanzoni mwa miaka ya themanini.

Watu leo wanajipigia makelele tuu kuwa Nyerere aliharibu uchumi, mara tulikuwa tunapanga foleni, sasa ndiyo wajue maana ya dhulma, tulinyanyasika kwasababu ya kutetea haki.
 
Sasa wewe unamtetea China wa kazi gani? Let China take care of herself, mind your business for the sake of your citizens
Nyerere alikuwa loser sababu aliondoka akiacha uchumi wa Tz ukiwa hoi kuliko alivyouchukua baada ya miaka 23, and for what? Kuwakomoa mabeberu? Kuonekana hero?...upuuzi mkubwa kuingilia vita ya ligi kubwa, wakati wananchi wako hawawezi hata kumudu ugali maharage,
 
Onjeni uchungu wa kubaguliwa kama jinsi mnavyowabagua na kuwadhalilisha mashoga, maalbino, na wanawake!! Tulia sindano ziwaingie nyani nyie!
 
Sasa wewe unamtetea China wa kazi gani? Let China take care of herself, mind your business for the sake of your citizens
Nyerere alikuwa loser sababu aliondoka akiacha uchumi wa Tz ukiwa hoi kuliko alivyouchukua baada ya miaka 23, and for what? Kuwakomoa mabeberu? Kuonekana hero?...upuuzi mkubwa kuingilia vita ya ligi kubwa, wakati wananchi wako hawawezi hata kumudu ugali maharage,
Hivi ulisoma vizuri niliyosema na kuelewa au unajiandikia tuu.
 
Watu wengi wasichokijua ni kuwa hii ndiyo sababu kubwa ya kukataliwa kwa Dr. Salim kuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa. Pia ndiyo sababu ya kudorora kwa uchumi wetu kutokana na kunyimwa mikopo ya IMF/WB wakati wa utawala wa Reagan, mwanzoni mwa miaka ya themanini.

Watu leo wanajipigia makelele tuu kuwa Nyerere aliharibu uchumi, mara tulikuwa tunapanga foleni, sasa ndiyo wajue maana ya dhulma, tulinyanyasika kwasababu ya kutetea haki.
Sir! It is true that Reagan uttered those word in 1971. However, he wasn't responsible for our economic woes as he came to power in 1980 when the Tanzanian economy was already in downward spiral.
 
Tanzanian economy was booming back in the seventies but after the fall of the EAC and the war with Uganda, our economy was brought to it's knees.

Nyerere desperately trying to recover the economy, he needed money to run the country but he was denied loans by those institutions (IMF/WB).

When Dr. Salim (one of the person called monkey in 1971 call) was the front runner to win the seat at the UN, it was the Reagan administration that vetoed him out . If that was the case what makes you think they didn't instruct the IMF/WB to denied Nyerere, some loans?

Nyerere did not see eye to eye with the Reagan administration and you can tell by the tone of the letter sent to Reagan by him. He had a good relationship with president Carter though, just like he did with Kennedy.
 
Ubaguzi na hasira ni sehemu za maisha... hata nyie majumbani mwenu wadada wa kazi au mashamba boy hamuwatendei kama wanafamilia zenu sawa sawa.
 
Back
Top Bottom