Ni politics tu za election hizo anazopiga, actually akichaguliwa huyo ndo anaweza hata kumake a stronger case kwa bunge kutenga fedha ili amdungue Iran mapema, that's politics
Ron Paul ....
Strong politician... Na nimeona coverage ya hiyo hotuba.. Ila kuwa Rais wa Marekani nimekuja kugundua unapimwa kwa msimamo wako kuhusu Israel.
ukiwa rais wa USA swala la vita huwezi kulikwepa-hata mwanzoni obama hakupenda mambo ya vita-ila ameshindwa kujitoa kwenye hicho kitanzi.
so huyu kama akiwa rais atajikuta hawezi pingana na magenerals wake watakaokuwa wanashauri vita zifanyike
ukiwa rais wa USA swala la vita huwezi kulikwepa-hata mwanzoni obama hakupenda mambo ya vita-ila ameshindwa kujitoa kwenye hicho kitanzi.
so huyu kama akiwa rais atajikuta hawezi pingana na magenerals wake watakaokuwa wanashauri vita zifanyike
Mh..nadhani si magenerals..ni mfumo uliopo wa kujenga Taifa kubwa na lenye nguvu duniani!
Namna ya kulijenga ndiyo pamoja na vita kwa sehemu ambazo maslahi ya Taifa yatapatikana. Kwa nchi zenye utajiri asili kama mafuta,madini..
Kama kiongozi wa eneo hilo anacomply na anacooperate na Marekani,hakuna vita na atalindwa na kupewa msaada hata wa kijeshi...(Syria)
Kama kiongozi hana/hataki kucooperate na Marekani,atapigwa vita,na hata chokochoko zitaandaliwa na Marekani ili tu kuandaa mazingira ya kumuondoa kiongozi huyo madarakani,na kuandaa mazingira ya mtu wao.
So,kwa Taifa kama Marekani,ingawa kwa mtazamo wangu Obama ni rais bora kabisa wa Marekani(nadhani kwa uwezo na mtazamo wa masuala,anafaa kuwa Rais wa nchi yeyote ile nyingine),lakini kwa mfumo wa nchi yao,ataonekana failure kuliko Rais yeyote aliyepata kuwepo Marekani...!