VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,140 Reaction score 18,004 Nov 6, 2012 #1 Anaendelea na kampeni hadi muda huu ambapo kura zinaendelea kupigwa huko Marekani. Atakwenda Ohio na Pennyslvania. Hata Obama alifanya hivyo 2008. Atafanikiwa?
Anaendelea na kampeni hadi muda huu ambapo kura zinaendelea kupigwa huko Marekani. Atakwenda Ohio na Pennyslvania. Hata Obama alifanya hivyo 2008. Atafanikiwa?