Rombo umeme hamna tangu asubuhi

Rombo umeme hamna tangu asubuhi

taison

Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
34
Reaction score
8
Wadau hivi Kuna mgao wa umeme?

Kwani sielewi umeme unakatika sana. Kama leo, hakuna umeme tangu asubuhi
 
Kama ni wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro hakuna shida, maana huko ni mwendo wa kulewa gongo tu. Umeme wa nini huko?
 
Back
Top Bottom