Si mnasemaga mnataka 24/7
Mkipewa mnakimbia police mmhhh
Tabu kweli kweli..
Si mnasemaga mnataka 24/7
Mkipewa mnakimbia police mmhhh
Tabu kweli kweli..
MmmmhhhhKwa hiyo wanawake wakilalamika Ni tunawapa adhabu.....Au ndio vipi tena? ??afrodenzi, kusema 24/7 haimaanisha kuwa ndo wanaume wapewe adhabu kiasi hicho. huko sasa ni kukomoana. nadhani kwa maoni yangu atleast 2 sawa na ifanywe kwa ustaraabu mkubwa ili kila mtu aridhike i.e supper na morning glory tosha kabisa
Mbona iko straight forwardHujaelewa nini??Frankly speaking hapa umetuacha wengi... ufafanuzi tafadhali...