Sawa mkuu nimekusomamkuu..!
unasema kila ukikaa unajiuliza hilo swali..
mi nakushauri lisikupe tabu achana nalo.. mbona yapo maswali mengi ya maana ya kujiuliza! hilo lisikupotezee muda mkuu..!
ila kwa upande mwingine..
mi naona tupunguze Negativity juu haya masuala..
binafsi sioni tatizo yeye kuimba kisingeli chenye ujumbe kama huo .. maana visingeli vingi huwa ndio vinamaudhui ya Uswahilini hivyo hivyo.. wengine huuita ni mziki wa wahuni.. na hata Roma nae akili zake huwa anazijua mwenyewe yule mi hata simshangai..
Anyways..
hawa watu wanatafuta channel ya kufanya kazi zao.. waache wafanye kazi .. si unaona hali ilivyokuwa ngumu mtaani.
Kwani maudhui yake ni nini?Ninavyomjua mimi ROMA ni msanii ambaye alianza na nyimbo za kiarakati
Yaani aliifanya HIP HOP yake kuwa kama njia ya kuikosoa serikari .
Mashairi ya nyimbo zake yalilenga zaidi kuelezea moja kwa moja maisha halisi ya MTANZANIA na kile kinachondelea katika Jamii,makosa na nini serikari inaitaji kufanya ili kuleta maendeleo ,
Dhumuni la kuandika uzi uuh ni kuhusu Nyimbo iliyotoka kwa Jina la K,
ingawa si yake ya kushirikishwa lakini kulikuwa na umuhimu wowote wa ROMA kukubali kushiriki kuimba wimbo huo ukizingatia na maudhui ya Wimbo wenyewe,
ROMA yule wa kiarakati ni kweli kakubali vipi kuimba huo wimbo ukizingatia heshima yake na jamii ilivyokuwa inamchukulia?
Hili ni swali ambalo kila nikikaa najiuliza tangu siku nilipoisikia nyimbo iliyopewa jina la K
MZIZI MKAVU.
Majina hewa.Hiyo ID inachanga sana na Mdau MziziMkavu,Ungeomba Mods wa Add hata Mzizi Mkavu Jr au Mzizi Mkavu II ili kutofautisha na Nguli mwenyewe.