Roma amtolea uvivu Nikki Mbishi, Fanya muziki acha majungu badilika muda unaenda haurudi nyuma

true mkuu,

Ila ukifanya kitu kwa ajili yako bila kutegemea someday kuwa huyo mtu atakufanyia vivyo hivyo inasaidia sana

kingine ni kujiepusha na watu ambao unaona kabisa ni users na toxic. Quality over quantity
Kuwaepuka ni ngumu kwa sababu wahenga wanakwambia kikulacho kinguoni mwako.
 
Tamaduni music

Ila Niki ana audience yake ambayo ipo loyal sana kwake na hivyo kudiss watu kunamfanya awe kama masiah kwa wanaoamini katika traditional Hip Hop. Ila sina uhakika kama hao watu wananunua muziki wake au akiitisha show kubwa wanaweza jaza stadium, SIJUI

ila who am i, unaweza kuta anafanya muziki wa harakati na hajali kuhusu figures maana binadamu tupo tofauti na tunaridhika kwa vitu tofauti. Mwingine anaridhika na pesa, mwingine sifa au umaarufu ambao haumuingizii chochote
show gani Roma amewahi kufanya na akajaza peke ake?
 
since umeuliza

ni kurahisisha maisha ya watu wengine iwe kifedha, kihisia au kiakili pale wanapopungukiwa na si kwamba ninavyo vingi ila ndivyo nilivyoumbwa.

Kidogo nilichonacho hata kama ndio cha mwisho naweza kuwapa wengine af nikaanza kuhangaika mimi

"I'm naturally a giver not a taker like most people, wakisema wananitumia its ok, i do it for me and not them, I live it, I love it " boss.
wewe ni introvert bila shaka.... wanasema shukrani ya punda mateke.vipi hao uliowasaidia. hawajawahi kukupiga mateke?
 
Hata mimi nilikuwa kama jamaa kusaidia watu,kutoa pesa mara kwa mara.
Lakini tangu nimekuja kugundua kuwa binadamu sio watu nimechoka sana.
Binadamu ni masnitch mno,anaumia kufanikiwa kwako anatamani afanikiwe mtu asiyemjua lakini akipata shida anakutafuta wewe anayekujua ili umsaidie.
Ndio maana matajiri wanaojua hayo mambo ni wagumu sana kutoa pesa
nakuona introvert
 
Niki afanye hayo ya miaka ile acha Uchawi wa mjini kweupe watu hawako hivi sasa.
Kama ameshindwa aje tulime dengu huku tulipo.
 
true mkuu,

Ila ukifanya kitu kwa ajili yako bila kutegemea someday kuwa huyo mtu atakufanyia vivyo hivyo inasaidia sana

kingine ni kujiepusha na watu ambao unaona kabisa ni users na toxic. Quality over quantity
You are right 100%
 
Hata mimi nilikuwa kama jamaa kusaidia watu,kutoa pesa mara kwa mara.
Lakini tangu nimekuja kugundua kuwa binadamu sio watu nimechoka sana.
Binadamu ni masnitch mno,anaumia kufanikiwa kwako anatamani afanikiwe mtu asiyemjua lakini akipata shida anakutafuta wewe anayekujua ili umsaidie.
Ndio maana matajiri wanaojua hayo mambo ni wagumu sana kutoa pesa
Yes, kwa matajiri ni kanuni ya #UnyamaUnyamaTu.
 
Tamaduni music

Ila Niki ana audience yake ambayo ipo loyal sana kwake na hivyo kudiss watu kunamfanya awe kama masiah kwa wanaoamini katika traditional Hip Hop. Ila sina uhakika kama hao watu wananunua muziki wake au akiitisha show kubwa wanaweza jaza stadium, SIJUI

ila who am i, unaweza kuta anafanya muziki wa harakati na hajali kuhusu figures maana binadamu tupo tofauti na tunaridhika kwa vitu tofauti. Mwingine anaridhika na pesa, mwingine sifa au umaarufu ambao haumuingizii chochote
Asingekuwa analalamika, analalamikia hip hop artists wenye subscribers wengi na wanaoshangiliwa sana kwenye live performances kwa sababu gani.
Kaambiwa kujifanya mkali ukiwa ghetto unaandika mistari lakini ukipanda kwenye stage wananzengo wanakupigia kelele ushuke apande mwingine you gotta now you lacking something hivyo ajifunze, kufanikiwa ni ku attract mashabiki. Most of his loyal fans ni wale wanaofurahia ile ya yake ya kwamba mgumu na anakuwa kakolea ganja all time, you some of us passed that ganja era hivyo naelewa wanaomkubali kwa hilo lakini kikubwa ajue ile ni profession hivyo lazima aifanye kibiashara kuliko kuchukia wenye mashabiki wengi.
 
true mzee nimeshakutana na mengi hadi saa hii lakini kuna vitu huwezi kuvibadilisha ila kuvicontrol tu. Nakumbuka one of my Jf friends aliyefariki last year aliniambia kuwa hiyo ndio itakuwa sababu ya downfall yangu

ila najitahidi champ ✊✊✊

Rafiki yako gani wa JF aliyefariki last year?
 
Amempa shule tosha sana ,nikki mbishi aufanyie kazi ushauri wa roma utamsaidia sana.
Yule jamaa hashauriki hivi juzi hapo nay wa mitego alihojiwa ataje rappers wakali lakini pamoja na utofauti wao ye na nikki bado mchizi alimtaja nikki mbishi kua ni moja ya wasanii wazuri na anao wakubali japo hailewi ni kwanini mchizi ana chuki na yeye

Kuna moja ya interview zake nikki mbishi alisema enzi za kikwete kulitolewa list ya wasanii walioitwa ikulu na kikwete kulikua na mchongo, lakini waliopewa hiyo list waliambiwa wawashirikishe na wenzao wawape taarifa wajumuike wote siku hiyo

Inavyodaiwa ni kua roma ni miongoni mwa watu walikua na hiyo list na mara ya mwisho roma walionan na nikki siku mbili kabla ya hiyo event na mchizi akala buyu hakutaka kumuambia kua nawewe umealikwa

So baada ya hiyo event kupita ndio ikaja kugundulika kumbe walikua wasanii wengi tu walialikwa ila machizi walialikana kimatabaka ili mradi wao wavimbe, hiyo ndo sababu nayo ijua mimi ya nikki kumdiss roma

Ila hoja ya kusema roma ka trend kwasababu ya kutekwa haijakaa vizuri, miaka ya 2011 roma alitrend sana kuliko hata saizi tena katika season ambayo mitandao ya kijamii haijawa popular
 
Mbishi is a know-it-all kinda guy. Namjua tangu akiwa MUST Mbeya kabla hajaanza kufoka foka na kubatizwa jina la mbishi.

Kashawadis hadi wanae kabisa akina Wakazi, Mawenge nk although nadhani they're in good terms as of now ila sababu mbishi yupo dakika mbili mbele hachelewi kuwavuruga tena.

Jamaa ana stress sana, he's an elite rapper no doubt, a very smart guy to say the least ila mambo hayaendi vile atakavyo inampa msongo wa mawazo sana, badala apambane na hali yake anaanza kuchawia wenzake. Huu ni usela mavi.
 
sio lazma ujaze ukumbi , ukishakuwa na fan base kubwa kama mainstream artist lazma kuna faida unapata kama influencer, kuuza muziki online na show ndogo ndogo hazikupigi chenga
wewe ni msanii....mmekutana wasanii kumi mkaingiza watu 2000 hii haina maana kwamba hao watu 2000 wamekuja kukuangalia wewe.nguvu ya msanii inapimwa na show yake mwenyewe na sio za fiesta
 
since umeuliza

ni kurahisisha maisha ya watu wengine iwe kifedha, kihisia au kiakili pale wanapopungukiwa na si kwamba ninavyo vingi ila ndivyo nilivyoumbwa.

Kidogo nilichonacho hata kama ndio cha mwisho naweza kuwapa wengine af nikaanza kuhangaika mimi

"I'm naturally a giver not a taker like most people, wakisema wananitumia its ok, i do it for me and not them, I live it, I love it " boss.
same way homie
 
Back
Top Bottom