Pengine umekuwa ukiwsumbuliwa na roho hii bila kujijua ;hii ni roho ambayoooo inazalisha ama kukufanya mtumwa wa kuwanufaisha wenzako;Roho hiii imefanya watu wengi sana mpaka leo watanzania wana kazi zaidi ya miaka kumi lakini akiachishwa leo miezi sita anakuwa kama houseboya ama babuamabibi wa miaka mia;sababu una roho ya mapooza wewe unafanyika kuwa msukule wa kuzalisha watu waendelee kunemeeka;;turudi kwenye mada ya mapenzi Wapo wanaume na wanawake ambao wamekuwa wakitumika kwenye mapenzi na kuishia kuwa watumwa wa watu na kuishia kuitwa boyfriend gfriend ;