Mr Fergie alex tayari
kaangusha jiwe jipya kabisa ndani ya mashetani wekundu kwa kiasi cha
kama £24 M hivi,bado tujiulize kama RVP ni mtu atayeleta changamoto na
mafanikio ndani ya old trafford au ndo kaja kuwa kama berbatov (kaingia
man u kukua). . . .Toa maoni yako kuhusu uhamisho huu ambapo atakuwa
akilipwa £ 200,000 per week.
Nawasilisha wana old trafford aka wakereketwa.
Duh mkuu huyu dogo me nilikuwa simtaki kabisa,kule mbele mbona chicha na welbak walikuwa wanatosha?babu angenunua viungo bwana au u unasemAje kiongozi?
Ni kweli wadau lakini sasa hivi huyu rio anafaa kweli kuendelea kubaki?binafsi nikimuonaga tu presha juu,na nafasi ya scholes pale hapahitaji mtu wa shughuli?babu bwana angefanya mambo na kwenye hizo nafasi mbili...
Chicha na welbeck bado ni wadogo si umeona last season waliishiwa nguvu? Uzuri wa rvp na rooney wote wana experience ya champions lg na premier lg na kumbukeni competition ziko nyingi fa cup carlin champions lg na PL so u need strength in depth kwenye squad. Huwezi shindana na man city team ambayo ina tevez aguero dzeko bila kua na proven goal scorer na welbeck anacheza game 5 then kaumia... So rvp is a gd choice japokua we need a defender coz vidic rio smallin na jones wote ni injury prone hakuna anayecheza game 15 bila kuumia