Robert Mugabe wa Zimbabwe Kumwachia Madaraka Mkewe

Robert Mugabe wa Zimbabwe Kumwachia Madaraka Mkewe

MJITA HALISI 176

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
537
Reaction score
146
Wadau kuna habari kuwa rais wa Zimbabwe anayeelekea kustaafu anatarajia kumrithisha mke wake nafasi ya ukuu wa nchi hiyo aliyoiongoza kwa zaidi ya miaka 20.

Nini msitakabali wa Taifa la Zimbabwe kwa RAIA wa nchi hiyo na wapinzani?

Nini hatima ya bara la Africa katika kurithishana madaraka katika familia za watawala.

Could Grace Mugabe succeed Robert Mugabe as president?

Speculation is building that the President of Zimbabwe, Robert Mugabe, is preparing for his wife to take power.

Grace Mugabe, once the president's secretary and 40 years his junior, has been nominated to a senior position in the ruling ZANU-PF party.

Nomsa Maseko reports from Harare.

Source: bbc

Updates:

Grace Mugabe profile: The rise of Zimbabwe's first lady

_79495379_79484663.jpg


Zimbabwe's first lady Grace Mugabe has taken centre stage as the ruling Zanu-PF party holds an important meeting on the future leadership of the country. BBC Africa's Zimbabwe correspondent Brian Hungwe charts her rise.

President Robert Mugabe began wooing Grace Marfuru over tea and scones while the young typist was working in state house.

"He came to me and started asking about my family," she said in a rare interview about their first encounter in the late 1980s. "I looked at him as a father figure. I did not think he would at all look at me and say: 'I like that girl.' I least expected that."

“Start Quote
She hates corruption - she will be a good leader”Kudzanai Chipanga Zanu-PF youth leader

A divorcee with a son, she says she was initially hesitant about such a relationship. Mr Mugabe is more than 40 years her senior and his first wife Sally, a Ghanaian who was much loved in Zimbabwe, was terminally ill at the time. But insiders say that during office tea breaks Mr Mugabe continued to work his charm.

Mr Mugabe has said Sally did give her consent to the union before she died in 1992 - though they did not marry until four years later.Together the first couple have three children, the last born in 1997.

_79484660_e747-2819-0da7-5950.jpg


This road sign has gone up in the lead-up to the Zanu-PF Congress Grace Mugabe has since grown into a powerful businesswoman and sees herself as a philanthropist, founding an orphanage on a farm just outside the capital, Harare, with the help of Chinese funding.

But a new road sign reading "Dr Grace Mugabe Way" - put up near the dusty piece of land near the Zanu-PF headquarters as delegates gathered for the party congress - shows how her ambitions have broadened in the last year.

The 49-year-old is believed to have earned her sociology PhD in two months from the University of Zimbabwe. Her thesis is reportedly about orphanages but has not been filed in the university library.

However, the doctorate gives the first lady gravitas - and within weeks of being capped, campaign material with her new title appeared at rallies around the country as she prepared to take over the leadership of the Zanu-PF women's wing after being nominated for the role in August.

Sharp tongue

It is fair to say Mrs Mugabe evokes strong emotions - her fans applaud her style and forthright nature, her detractors have nicknamed her "Gucci Grace" and "DisGrace" because of her alleged appetite for extravagant shopping.

Her entry into the president's life did seem to change his ideological outlook - he had always been a Marxist with a Pan-Africanist inclination. Fay Chung, Mr Mugabe's former education minister, says he was not materialistic and lacked a proper understanding of budgeting.

_79495385_b635aa12-9469-4bb9-9c75-6c498d002848.jpg



  • Began affair with Robert Mugabe, 41 years her senior, whilst working as a typist in state house
  • Mr Mugabe later said his first wife Sally, who was terminally ill at the time, knew and approved of the relationship
  • Married Mr Mugabe, her second husband, in 1996 in an extravagant ceremony. They have three children
  • Nicknamed "Gucci Grace" by her critics who accuse her of lavish spending
  • Along with her husband, is subject to EU and US sanctions, including travel bans
  • Praised by supporters for her charitable work and founding of an orphanage
  • Received a PhD in September 2014, a month after being nominated to takeover the leadership of the Zanu-PF women's league

In the mid-1980s, Zanu-PF gave Mr Mugabe a big piece of land in the upmarket Harare suburb of Borrowdale to build a home on.

But it lay undeveloped for a decade-and-a-half until Grace Mugabe became involved. Now the first family have vast properties, businesses and farms dotted around the country, mainly in the rich western and northern Mashonaland provinces.

She is known to be tough - at one time kicking some farm workers and their families off land - but she is usually modest and reserved in interviews. Her political rallies during her "meet the nation" tour have shown a new surprising side to the first lady - her sharp tongue.


_79495383_36dae91f-07b1-4038-8818-917fdb9bdb94.jpg

Grace Mugabe was vocal about those she regarded as opponents at her rallies

_79495866_a5ce49e6-654e-4266-854f-dfa0a4127b64.jpg


She toured all of Zimbabwe's 10 provinces holding rallies As she took to the podium in each of the country's 10 provinces, she was unrelenting, using chilling words, in Shona and English, to pick on her opponents. "'Stop it. Ndakakumaka rough (I don't like you and I'm watching you)," she warned.

She also lashed out at the late Heidi Holland, the Zimbabwean-born author of Dinner with Mugabe, saying she had died because she had been cursed for writing lies about her husband.

'Refreshing departure'

For Zimbabweans, it was like a soap opera - she washed the ruling party's dirty linen in public, calling on those she picked on to resign or apologise.

Start Quote
"She is feared and has been known always to get what she wants”

Marcellina Chikasha, ADP leader

Her main target was Vice-President Joyce Mujuru, and politicians linked to the independence fighter suddenly woke up to allegations of assassination plots. She said some of them had spent time plotting to oust her husband.

A week later, state-owned media made sensational claims of senior government officials going abroad scouting for a hit man to finish off Mr Mugabe.

When Mrs Mugabe returned home from a trip to the Vatican in October, walking behind her husband, she openly refused to shake Mrs Mujuru's hand.

At rallies she explained her behaviour, saying the vice-president should be sacked from government because she was "corrupt, an extortionist, incompetent, a gossiper, a liar and ungrateful".

_79495868_fbba7b84-ef5d-4a48-83b3-a7b601ca21d2.jpg


Vice-President Joyce Mujuru - part of the political elite - was the target of some of Mrs Mugabe's attacks

Her tirade continued. Mrs Mujuru was "power-hungry, daft, foolish, divisive and a disgrace", she said, accusing her of collaborating with opposition forces and white people to undermine the country's post-independence gains.

Party youths have warned that they do not want to see Mrs Mujuru at the Zanu-PF congress - she has already been barred from serving on its powerful central committee because of the allegations, which she denies.

Harity Manyeruke, a pro-Zanu PF political analyst, says Mrs Mugabe's approach is a "refreshing departure from the culture of not being very open about issues of serious concern".

Kudzanai Chipanga, Zanu-PF youth chairperson, agrees: "She hates corruption - she will be a good leader." But for senior party leaders, like veteran Cephas Msipa, the attacks on Mrs Mujuru and others are "unAfrican" and they fear they could "split the party".

Succession

The first lady has had praise for some, saying Justice Minister Emmerson Mnangagwa, who like Mrs Mujuru has been seen as a successor to Mr Mugabe, is "loyal and disciplined".


_79495870_897c974c-9d2f-4171-b853-b57d1b9db567.jpg


Mrs Mugabe runs a dairy and markets the products under the Alpha Omega Dairy label And she has not denied the speculation that she may one day wish to replace her 90-year-old husband herself.

"They say I want to be president. Why not? Am I not a Zimbabwean?" she remarked at one rally.
Marcellina Chikasha, leader of the small new African Democratic Party (ADP), says Mrs Mugabe's "phenomenal rise to power" has astounded many who consider themselves her "intellectual and political superior".


"Call her shrewd, power hungry or plain old 'being in the right place at the right time' - this typist has become a kingmaker in Zimbabwe's succession politics," she says. "She is tenacious and determined; she is naive and unpolished; she is feared and has been known always to get what she wants."

Source: bbc.com
 
Toka lini Bbc wakatoa habari chanya za zimbabwe.?hawa wanahasira za ndugu zao kunyanganywa mashamba...zimbabwe ni nchi ya kidemokrasia na raisi wake anachaguliwa kwa kura na sio kwa kurithisha kma wanavotaka kutuaminisha..!
 
Kama ni ukweli au uwongo time will tell...
Mnacheza na uzee...ukute kwa sasa akili zake kashikiwa na mkewe...
 
Toka lini Bbc wakatoa habari chanya za zimbabwe.?hawa wanahasira za ndugu zao kunyanganywa mashamba...zimbabwe ni nchi ya kidemokrasia na raisi wake anachaguliwa kwa kura na sio kwa kurithisha kma wanavotaka kutuaminisha..!
wanasema kwenye chama chake hakuna mtu wa kumrithi zaidi ya my wife!
 
Kama ni ukweli au uwongo time will tell...
Mnacheza na uzee...ukute kwa sasa akili zake kashikiwa na mkewe...

Zimbabwe ina siasa ngumu sana kwa sababu kuna vibaraka wa mataifa ya magharibi...

Mugabe hawezi kuweka rehani maisha yake baada ya Urais maana kuna kila dalili anaweza kuutumikia muda huo kujibu mashtaka huku na kule...

Marais wengi wa Kiafrika wanaofanya madudu huwa wanawaandaa watu wao na ni kujihakikishia tu usalama wao baada ya urais...
 
Ikija kwa Mugabe uwa namkubali afu namkataa...
Very complicated...
kwa sababu hakuna justification ya mtu kuwa rais wa maisha..
Ingawa najua wapinzani wake nao ni vibaraka wa mataifa ya magharibi...
At least angeandaa mtu toka kwenye chama chake kuliko kuzeeka mpaka kurudi kwenye utoto (kutambaa) akiwa ikulu...

Na sidhani kama angepata mrithi kuna wa kumshtaki ...kwa lipi? kunyan'anya mashamba...maana sina habari kama aliua raia wake kama wenzangu na miye...zaidi ni machafuko ya hapa na pale ya kisiasa

Zimbambwe ina siasa ngumu sana kwa sababu kuna vibaraka wa mataifa ya magharibi...

Mugabe hawezi kuweka rehani maisha yake baada ya Urais maana kuna kila dalili anaweza kuutumikia muda huo kujibu mashtaka huku na kule...

Marais wengi wa Kiafrika wanaofanya madudu huwa wanawaandaa watu wao na ni kujihakikishia tu usalama wao baada ya urais...
 
Wakuu wa magharibi wakitaka kukuundia zengwe wala hawana hata haja uwe umeshiriki mauaji ya halaiki...

Wana propaganda za kivyao vyao na unaweza kuziona katika ripoti za wakaguzi wa chaguzi za urais...

Mathalani katika uchaguzi uliopita, ukiacha serikali ya Moscow nyingine zote zilimponda Mugabe...

Sasa mtu huyu ni wazi ana maadui kila kona wanaoweza kumuundia zengwe lolote akiwa nje ya ikulu ya Harare...

Na sidhani kama angepata mrithi kuna wa kumshtaki ...kwa lipi? kunyan'anya mashamba...maana sina habari kama aliua raia wake kama wenzangu na miye...zaidi ni machafuko ya hapa na pale ya kisiasa
 
Zimbabwe ina siasa ngumu sana kwa sababu kuna vibaraka wa mataifa ya magharibi...

Mugabe hawezi kuweka rehani maisha yake baada ya Urais maana kuna kila dalili anaweza kuutumikia muda huo kujibu mashtaka huku na kule...

Marais wengi wa Kiafrika wanaofanya madudu huwa wanawaandaa watu wao na ni kujihakikishia tu usalama wao baada ya urais...

yaani mugabe miaka 90 bado anaogopa kufa"?
 
huyo raisi ni zuzu,alipoona jina lake linashuka umaarufu na maltipatism inaanza akaamua kudai mashamba ili kujiupdate
 
Nini hatima ya bara la Africa katika kurithishana madaraka katika familia za watawala.

Usiseme bara la africa sema ulimwenguni.Kwani huko kwingine kuna unafuu?
Marekani unakuta raisi ni bush anamkabizi mwanae bush kuwa Raisi.Uingereza ndio usisema ni ufalme wa milele waafrika tulifuta falme wao wamo tu mfalme akifa mwanae anachukua wakiishi kwa kodi za wananchi.

Sioni ajabu.Ila sipendi tabia ya kusema ni Afrika au CCM.Nenda vyama vya upinzani.Mwenyekiti BABA MKWE Edwin Mtei Anamkabidhi chama kijana Freeman Mbowe ALIYEMWOA mwanae.
Mbunge TUNDU Lissu NA dada yake pia ni mbunge viti maalumu.

Hii tabia ipo kote duniani.Swali usingesema Africa ungesema duniani.

Sababu ni tatizo liko ulimwenguni wakati linaendelea kutafutiwa ufumbuzi Mke wa Mugabe apewe tu huo uraisi of course hawezi pewa na Mugabe bali ni na wapiga kura.Hicho kichwa pia hakiko sawa.Uraisi atapatia kwenye kura.
 
Usiseme bara la africa sema ulimwenguni.Kwani huko kwingine kuna unafuu?
Marekani unakuta raisi ni bush anamkabizi mwanae bush kuwa Raisi.Uingereza ndio usisema ni ufalme wa milele waafrika tulifuta falme wao wamo tu mfalme akifa mwanae anachukua wakiishi kwa kodi za wananchi.

Sioni ajabu.Ila sipendi tabia ya kusema ni Afrika au CCM.Nenda vyama vya upinzani.Mwenyekiti BABA MKWE Edwin Mtei Anamkabidhi chama kijana Freeman Mbowe ALIYEMWOA mwanae.
Mbunge TUNDU Lissu NA dada yake pia ni mbunge viti maalumu.

Hii tabia ipo kote duniani.Swali usingesema Africa ungesema duniani.

Nimekusoma mkuu
 
Back
Top Bottom