Robert Mugabe has collapsed: report

rpg

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Posts
3,620
Reaction score
1,480
An insider from Zimbabwe's ruling government has posted information suggesting that longtime president of the African nation Robert Mugabe has collapsed.

Happyton Bonyongwe, the director-general of the Zimbabwean Central Intelligence Organisation, has reportedly tightened security at State House in Zimbabwe, a day after fears for Mr Mugabe's health surfaced, internet commenter Baba Jukwa said.

Baba Jukwa, an insider in the ruling Zanu-PF party who uses a Facebook page to expose corruption in the regime, on Saturday reported rumours that Mr Mugabe had collapsed.

However, he added that Mr Mugabe's press secretary, George Charamba, had denied that the President was ill.



Read more: Zimbabwe leader Robert Mugabe has collapsed: report
 



Dah....magonjwa ya uzee yanaaanza sasa kumwandama,

Miaka 90 sio mchezo jamani........na hizo pilika pilika za Majukumu yake....
 
Hata hivyo amshukuru sana Mungu kwa umri huo na bado ni Kiongozi!!
Ukiacha viongozi wa kifalme, nadhani ni watu wachache sana duniani waliofanikiwa kufikia umri huo wakiwa bado kwenye Power.
 
Hata hivyo amshukuru sana Mungu kwa umri huo na bado ni Kiongozi!!
Ukiacha viongozi wa kifalme, nadhani ni watu wachache sana duniani waliofanikiwa kufikia umri huo wakiwa bado kwenye Power.

Mkuu,
huoni kama bwana Robert ni mroho wa madaraka? asiye na tofauti na Mu7? Wao hubadilisha katiba regularly to legitimize their life time presidency..

Sidhani kama Zimbabwe imeishiwa viongozi.. au wote ni vibaraka wa wazungu?

Africans leaderz are too greedy!
 
Pole sana mzee Mugabe. Majuzi tu alisema atagombea tena urais kwenye uchaguzi ujao!
 
Mugabe hana tofauti na mgombea kibabu wa kile chama chenye kesi mahakamani
 
kila uzushi anaozushiwa mwamba wa afrika mara nyingi umekuwa sivyo, ukiwabana wazungu kwenye red corner watakuchukia daima..... viva comrade Mugabe
 
He is a man that I am proud of...quick recovery mugabe....ila please let another person take over...
Lotsa prayers
 
Nakuunga Mkono mdau.. I think its time for mother nature to do what it does better..
 
acha uongo wewe mugabe yupo fiti..hizo ni propoganda za uongo za wazungu.usipende kupost ishu nyeti bila kuhakisha kama ina ukweli, unajishushia heshima.
 
Wengi mnaochangia humu hamjui economic status ya Zimbabwe, enzi hizo ikiitwa Rhodesia mara baada ya kupata uhuru! It was the pearl of Africa! Jamaa walikuwa vizuri sana economically! Mugabe akaja na siasa zake za kikomunisti, angalia alivyowa "rostisha" Wazimbabwe! Nchi gani ina INFLATION ya "kufa mtu" yaani asilimia milioni zaidi ya mia mbili! Watu kuuwawa na kupotezwa! Kuiba kura kwenye chaguzi kwa msaada wa Wachina na unscrupulous Jews/Israel! Zimbabwe was going somewhere but NOT now! Zimbabwe ya sasa hivi ni MAJANGA na Mugabe HAFAI, anafaa kwa inner cycle ya ZANU PF tu!
 
Jamaa kachoka asee....sidhani kama ana uwezo wa kuongoza...



Hata hivyo amshukuru sana Mungu kwa umri huo na bado ni Kiongozi!!
Ukiacha viongozi wa kifalme, nadhani ni watu wachache sana duniani waliofanikiwa kufikia umri huo wakiwa bado kwenye Power.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…