Believe me "Huu ni Mchanga wa Macho"
Wednesday April 22, 2009
Robbers grab 4bn/- gold in Tabora
PIUS RUGONZIBWA, 22nd April 2009 @ 00:00,
At least 3,500 ounces of gold worth $3m (about 4bn/-) was stolen in what is described as an armed robbery heist at the Resolute (Tanzania) Ltd gold mine at Lussu in Nzega, Tabora region, the mines stockholders reported yesterday.
Jana kwenye taarifa ya habari walisema ni worth US$300,000,000.....Nilishangaa sana, sasa naona hapa wamesema US$3...Which is which?
Anyway the security at the mine site is questionable!
Haukuwa mchanga wa dhahabu, ni dhahabu halisi... ilikuwa ya mamilioni nayo na jamaa walioiba walikamatwa, wakashitakiwa na kufungwa miaka 30 kila mmojaHaya mambo ya wizi wa dhahabu yameshika kasi sana, kuna kipindi Geita Gold Mine nayo iliibiwa kiasi kikubwa tu cha mchanga wa dhahabu.
Jana kwenye taarifa ya habari walisema ni worth US$300,000,000.....Nilishangaa sana, sasa naona hapa wamesema US$3...Which is which?
Anyway the security at the mine site is questionable!
Hata mimi niliposikia ni USD 300 mil. Nilipata wazimu!!! Lakini pia inawezekana!!! Unajua huwa wanaficha dhahabu wakipanga mipango ya kuivusha/kuitorosha!!!! Pengine, ni yale ya "Malipo ni hapa hapa duniani". ?????
Mwanajamii!
Umenikuna sana na sehemu ya mwisho''Tuwaulize katika vile vitabu vyao vya record zile ambazo hukaguliwa ili pia kutoa kujua makato mbalimbali kama mirahaba, kodi, etc wameandikisha kiasi hicho kilichoibwa''
Nani alikuambia wanakagua? Unamfahamu nani mwenye kumiliki Resolute au unacheza nini!!!Teheete!!
Resolute ya pale Lisu ilikuwa kampuni ya wadosi kutoka Australia. Wale walichimba na kuchimbaga wakajikata kislesi wakaenda kula walichochuma for almost 10 years kwao!
Fisadi Rostam Aziz ndie aliuziwa baada ya kupata mapesa aliyojipatia kwa msaada wa Fisadi Baba lao Benjamin William Mkapa na serikali za CCM ILIYOPITA na hii ya Mkwere imetoa full blessings!
Mkwara wa JMK wa kuunda tume ya madini is the same old story na ajabu kijana Masha ambaye kampuni yake ya IMMA ni mawakili wa makampuni yote ya madini alipewa hilo jukumu ni sawa na ngedere kulinda mahindi!! Uliona wapi? Walisema ''ukicheka na nyani utavuna mabua!''
Hii serikali ya vichaa mlisema wakapimwe akili wanendelea na usanii? Baada ya kubumbulika scandal la Alex Sterwart ni nani anafanya Audit ya hiyo mogodi na uchimbaji wake kama huu sio uchizi! Au anafanya Ludovick Utouh!!!
Source kubwa ya utajiri wa RA ni serikali hii hii inayoimba umaskini kama mtaji wa kutembeza bakuli .Kama Serikali ilimpatia dhamana akapewa mkopo wa USD 30m kutoka WB ! KUNA mtu anaweza kusema kama hizo pesa alilipa au limekua deni la taifa! Ndio maana deni linazidi kukua pamoja na misamaha yote!
Kwa mtaji huo aliyeibiwa ni mwizi wetu !! nikiuke maadili niwapongeze hao majambazi it seems wana taarifa kwamba yule ni jambazi mwanzao period!
Kama in a single deal the robbers scooped gold worth USD 3m je kwa miaka waliyokaa hapo hao Ausie walipeleka kiasi kama hicho kwa ndege zaidi ya mara elfu kadhaa ndio maana wakachomoa you know kula na kipofu!
You cam now see the light at the end of the tunnel why Marehemu Nyerere hakutaka tuvune hayo madini and these bastards with Mkapa in only 10 years wanatuachia mashimo, vumbi na jangwa!!!!!
Kwani sasa hivi Resolute inamilikiwa na nani?
Sidhani kama anahisa Resolute Tanzania Limited. Je, ni ndugu yake na Rose Aziz au Hamza Aziz yule alikuwa IGP zamani kama sikosei? Naelewa kuwa Caspian ni ya Rostam na ndo Earthmovers wao kule.
Believe me "Huu ni Mchanga wa Macho"
Hivi mtu akiiba USD mil. 3 kwa nchi maskini kama Tz kifungo chake ni mda gani? na jee sheria inasema lazma kwanza arudishe alichokiiba kwanza au anafungwa tu??
Kwa ukweli kabisa Resolute Mining Ltd bado inaendeshwa na Australians na ndio maana walipoibiwa dhahabu walitoa press release kwenye ASX. Caspian ni Contractor Company pale Resolute Tanzania - Golden Pride Mine.
Hata mimi niliposikia ni USD 300 mil. Nilipata wazimu!!! Lakini pia inawezekana!!! Unajua huwa wanaficha dhahabu wakipanga mipango ya kuivusha/kuitorosha!!!! Pengine, ni yale ya "Malipo ni hapa hapa duniani". Tuwaulize katika vile vitabu vyao vya record zile ambazo hukaguliwa ili pia kutoa kujua makato mbalimbali kama mirahaba, kodi, etc wameandikisha kiasi hicho kilichoibwa?????