kigori one Senior Member Joined Apr 14, 2014 Posts 169 Reaction score 39 May 24, 2014 #21 mungu abariki na uzao wangu uwe watoto wanne kw mpgo!! MUNGU NSAIDIEEEE
Chris Lukosi JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 4,583 Reaction score 2,953 May 24, 2014 #22 Baraka za mwenyezi Mungu hizo
hyusuph JF-Expert Member Joined Dec 5, 2013 Posts 1,655 Reaction score 693 May 24, 2014 #23 Hongera mungu awape afya njema wote kwa pamoja
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,253 Reaction score 6,805 May 24, 2014 #24 Haaa... Yani wanne kwa mpigo duuh... Her husband has got a "magic penis"!!!!... A Wish it was me
Mimosa Member Joined Apr 5, 2014 Posts 71 Reaction score 31 May 24, 2014 #25 Wenye uhitaji hawapat wasio na uhitaji ndo wanapata maajabu, hongera sana mamito.
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,067 Reaction score 2,229 May 25, 2014 #26 MasterP. said: Haaa... Yani wanne kwa mpigo duuh... Her husband has got a "magic penis"!!!!... A Wish it was me Click to expand... hapa anasifiwa mama zaidi kwa multiple ovulations!
MasterP. said: Haaa... Yani wanne kwa mpigo duuh... Her husband has got a "magic penis"!!!!... A Wish it was me Click to expand... hapa anasifiwa mama zaidi kwa multiple ovulations!