Alafu mkuu mbona ile anaenda mission Congo kila nikiitafuta siipati? Waweza kunilink pls? Hata jina tu nikaisearch maana niliishia pale amepangisha chumba hotel iliyokaribu na kambi ya jeshi Congo akimvizia mkubwa flani ambaye nae alikuwa kwenye list yake.