ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,379
MATESO YANGU
SEHEMU YA 001
Ilikuwa 08/09/2007 nikiwa nasoma chuo cha Elimu ya Biashara (college of business education) nikiwa ndio kwanza nauanza mwaka wa kwanza nikisomea Utawala wa Biashara Yaani Business Administration. Ulikuwa Usiku ambao sitausahau katika maisha yangu. Usiku ambao uliyabadili maisha Yangu na kunifanya niharibu maisha yangu. Usiku ulionikutanisha na Sheila mwanamke ambaye aliacha kovu kubwa katika Moyo wangu pamoja na Maisha yangu. Mwanamke ambaye alinifanya niwachukie wanawake karibia wote katika dunia hii. Mwanamke pekee niliyekuwa nikimuamini na kumpenda alikuwa mama Yangu Mzazi Mahija Hussein Mganga.
Ilikuwa yapata majira ya Saa tano na nusu usiku. Jiji la dar es salaam lilikuwa giza kutokana na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha katika jiji hili. Mawingu meusi na mazito yalilifunika Anga lote la Dar es salaam na kuifanya ionekana kama ni Sehemu ya Kutisha. Ngurumo na radi kilionekana kuwa kitu cha kawaida machoni na masikioni mwa wakazi wote. Wakati huo mimi nilikuwa kwenye daladala ndogo nikitokea Mbezi Afrikana, nikielekea Nyumbani kwetu kigamboni. Abiri wote walionekana wakitetemeka na baridi huku kila mmoja akiwa amejikunja akitamani kuwahi nyumbani. Gari ilipofika maeneo ya Ulipo Ubalozi wa Ufaransa ikasimama ili kushusha abiria waliokuwa wanaishi maeneo Ya Oysterbay na Masaki. Wakati Abiria wake wakishuka, macho yangu yakavutiwa na kitu ambacho nilikuwa nikikiona kwa nje kupitia kioo. Kitu ambacho kilinishangaza kidogo na Kunishtua. Si kuwa mimi pekee niliyeshangazwa na kushtushwa bali hata jirani Yangu tuliekaa siti moja alishtushwa na kitu kile. Alikuwa msichana mdogo aliyevaa sare za Shule. Alikuwa na mkoba wa madaftari huku miguuni akiwa hana Viatu. nikahisi Moyo wangu Ukinisukuma nishuke ili nikamuangalie Yule mtoto.
Huku mawazo mengi yakipishana kichwani mwangu nikashuka. Halikuwa jambo la kawaida kumuona mtoto wa shule usiku ule, sehemu ambayo sio salama kwake. Licha kutokuwa salama lakini ilikuwa sehemu maarufu kwa machangudoa kutokana kuwa karibu na Viwanja wa Leaders Club. Nilishuka bila kujali mvua wala mingurumo ya Radi. Moyo wa Huruma ulishaniingia. Mtoto mdogo wa Shule kuwepo pale tena akinyeshewa na Mvua? Lilikuwa swali lililoleta mishkeli kunako kichwa changu. Nikapiga hatua huku nikiloa kumuendea yule mtoto. Nilipomfikia karibu kwanza nikaustaajabu Uzuri Wa Mtoto Huyu. Ingawa bado ni mwanafunzi lakini sikusita kujisemea mwenyewe kuwa Hutu Mtoto ni Mzuri sana. Hatimaye nikafika pale aliposimama. Uso wake alikuwa ameuinamisha chini akichuruzikwa na machozi. Ingawa hayakuonekana kutokana na kunyesha kwa Mvua, lakini hilo halikunifanya kugundua kuwa alikuwa akilia. Nikajaribu kumsemesha kwa mara ya Kwanza, Hakujibu. Nikaridia kwa mara nyingine tena lakini bado hali ilikuwa ile ile.
Sikutaka kushindwa au kukata tamaa, bado niliendelea kumuomba aongee na mimi. Nilimwambia yeye ni mtoto na sehemu alipohaikuwa salama kwake kwahiyo nikamuomba anisikilize. Lakini huwezi kuamini yule binti aliendelea kuwa kimya na aliendelea kujiinamia chini bila kuongea wala kunijibu. Lakini punde nikamuona akinyanyua uso wake na kunitazama. Moyo wangu ukashikwa na Simanzi baada ya kuyaona macho ya yule mtoto yakiwa yamevimba kuonyesha kuwa alilia kwa kipindi kirefu sana. Licha ya macho yake kuvimba lakini bado yaliuonyesha ule uzuri wake. Yalikuwa macho malegevu kupindukia. Macho ambayo yalikuwa yakimuita kila mwanaume aliyefanikiwa kutizama na Huyu mtoto. Sketi Yake fupi iliyomkamata ilionyesha kila kilichoumwa na mwenyezi Mungu kutokana na nguo kulowa. Alikuwa na Hipsi nzuri kuangalia na tamu kutumia. Nyusi zake na kubonyea kwa mashavu yake kilikuwa kitu kingine kilichonivutia na kunifanya nisahau kuwa huyu ni Mwanafunzi. Alikuwa na Umbo namba Nane, umbo Zuri kutazamika kama mwanadada Wema Sepetu ama Zarina Hassan.. Niliendelea kumsanifu bila kuongea kitu huku nikipambana na shetani aliyetaka kunirubuni.
Sikuweza tena kuongea naye wala kumuuliza kwa nini yuko pale. Kila kitu katika mwili wangu na Akili Yangu vilikuwa vimepoteza mawasiliano. Nilikuwa nikipingana na kila kilichokuwa kikiendelea. Wakati bado nikiendelea kutafakali binti akaongea maneno ambayo yalionyesha kabisa kuwa alikuwa amekata tamaa ya maisha. ''Kaka Yangu inawezekana kweli unaweza kunisaidia, lakini nadhani huna msaada zaidi ya kutaka kuutumia Mwili Wangu.'' yalikuwa maneno yaliyopenya katika moyo, ubongo na kila kitu katika mwili wangu. Nikajikuta nikimkodolea macho, nikimuangalia nisiamini kile alichokiongea. Nikajiuliza maswali mengi bila majibu. Inamaana ameniona mimi malaya Sana? Lilikuwa swali lililozunguka kichwani kwangu. Nikamshika mabega kwa Unyenyekevu na heshima juu.. Nikaanza kumbembeleza anieleze kilichomtokea mpaka kuwa mahala pale usiku ule. Binti akaniangalia kwa Muda, kisha nikaliona chozi lake likishuka mashavuni. Alikuwa akilia, Safari hii alikuwa akilia kilio cha kwikwi. Kilio kilichonigusa, kilio kilichonifanya nimuonee Huruma.