Risiti zetu

Hahaha!!! Hapo kweli kazi tu....
 
Hii Nchi tunahitaji maombezi at first tuli import MAKOROKORONI kwa maana ya KK Guards, now hata Parking system inatoka KENYA?! No wonder wanatudharau sana. [HASHTAG]#TumeruhusukuongozwaNaAkiliNdogo[/HASHTAG]
 
wana uzoefu nas hatuna - kwa hiyo wamepewa kazi na wafikisha mzigo kamili na kwa wakati !
 
Bora hao hao, ladba watafanya kazi ya kueleweka. Wabongo, wizi mtupu!
 
Kumbe ndo kirefu cha zile uniforms mpya za watu wa parking naona zimeandikwa KAPS nikawa sielewi kirefu. Kweli nasi kampuni zetu zote zilishindwa tenda au tumekuja wapigaji mpaka wanaotoa tenda wametuchoka
 
east africa ni soko huru watanzania wachangamkie fursa
 
Mbona wapo wabongo ni walinzi wa magetini huko Kenya! soko huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…