Nilikuwa zanzibar wiki yote hii,wengi hawaamini kama OBL amekufa,wanaidhihaki Marekani utafikiri Osama kawatendea mema,ole uisifie Marekani hayo matusi hayaambiliki,kwenye vigenge vya magazeti ndio kulikuwa na vigenge vya kulaani Marekani na kudaia wa marekani ni waongo jamaa yupo hai,huo munkari kwa hakika ulinipa tafakuri nzito na kuona kumbe zanzibar kuna u,jahidina wa kutisha,niliogopa hata kutoa kauli ya kuchangia hiyo mijadala kwenye vijiwe,hapo Zenj OBL ni shujaa wao