Risasi na mabomu vyarindima Babati

Sigma kuitwa mchawi siolazima uwe unawanga usiku kuongea au kutoa habari za uchochezi kama picha hizi za machafukoya kenya na kutuambia ni Babati si kitu kizuri na hakipendezi halafu hii inawapa credit oppressors kwa namna fulani tuache mambohaya jamani...




UOTE=Sigma;2798911]
[/QUOTE]
 
Mkiletewa habari motomoto mnataka picha, mkiletewa picha mnataka video, mkiletewa video mnataka vichwa vya marehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…