Risasi na mabomu vyarindima Babati

Bundajo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
244
Reaction score
47
Ni kati ya polisi na wafugaji wa kimasai walionyang'anywa maeneo yao ya kuchungia na kupewa mwekezaji wa kichagga.
 
Bila shaka bado kitambo kidogo sn na haki ya Mtanzania itaonekana. Na kuanzia sasa haitachelewa hata kidogo.
 
Tupe picha kama umefanikiwa kupiga matukio! BORA MAISHA KWA KILA MTANZANIA
 
serekali ipo kutetea wenye nacho A.K.A wawekezaji na kuwanyanyasa wazawa.mwaka,mwezi,wiki,masaa,dakika na sekunde zitatimia.hakika itakuwa kupata tabasamu la mtanzania kazi.poleni sana akwiii
 
Sasa kimenuka...Tanganyika kimenuka
 
Bado kidogo, leo nishasikia Mbeya, UDSM n Now BABATI... Uhuru Mpya unakuja
 
uWanaposema Media huweza kuchochea machafoko ndio kama hivi! Jamani hizi picha za machafoko ya Kenya ndio zimekuwa za babati!
Hii ndio imempeleka yule mtangazaji wa redio wa kenya ICC
 
Hapana hii si babati,

Ila mbeya hali ni Mbaya jamani, nimeshuhudia vijana watano wakipigwa bomu la machozi ndani ya hiace walimojifungia hali ni ya kutisha
wacha kuogopesha serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…