Risasa na mabomu maeneo ya kigogo mida hii!!!

Risasa na mabomu maeneo ya kigogo mida hii!!!

Digital Marketer

Senior Member
Joined
May 1, 2019
Posts
112
Reaction score
149
Waungwana nani nani amesikia nilicho sikia??

Kwa mara ya kwanza nilifikiri natoka ndotoni, ila baada ya kuendelea kusikiliza ..... nikajua sioti......

Kuna mtu mwingine amesikia ??? Au bado naota??
 
Bado unaota na kama huoti amka nenda upande ziliposikika ulete mrejesho
 
Back
Top Bottom