Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Kuzimwa kwa intaneti wakati wa uchaguzi mkuu kuanzia Oktoba 29 hadi Novemba 3, 2025 kumesababisha hasara inayofikia zaidi ya dola milioni 250, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 637.8
Hayo yamebainishwa kwenye Ripoti ya Tathmini ya Utawala wa Mtandao 2025, iliyochambua uadilifu na uhuru wa Sekta ya Habari wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Ripoti inaonyesha madhara makubwa katika uchumi, upatikanaji wa habari na uhuru wa kujieleza, huku wadau wakitaka hatua za kulinda mifumo ya mawasiliano kipindi cha uchaguzi.
Athari za kiuchumi zilikuwa kubwa. Ripoti inakadiria kuwa usumbufu wa huduma za intaneti na vizuizi vya majukwaa ya mitandao ulisababisha hasara ya zaidi ya dola milioni 250 (Tsh. bilioni 637.8) kwa uchumi wa Tanzania, ikijumuisha hasara zilizotokana na kusimamishwa kwa mtandao wa X pamoja na kuzimwa kwa intaneti katika kipindi cha uchaguzi.
Kuzimwa huko pia kulisababisha usumbufu katika huduma za fedha kwa njia ya simu na utumaji wa fedha kutoka nje ya nchi (remittances), ambazo ni mhimili muhimu wa uchumi usio rasmi wa Tanzania.
Mkurugenzi Mtendaji wa TMC, Asha Abinallah, alisema ripoti hiyo imeandaliwa na mashirika 26 ya kiraia chini ya Kundi Kazi la Utawala wa Mtandao Tanzania (Internet Governance Tanzania Working Group) kwa lengo la kufuatilia mwenendo wa utawala wa kidijitali nchini.
“Lengo letu ni kuonyesha hali halisi. Tulianza ripoti ya kwanza mwaka 2024 (ikazinduliwa 2025) ambapo tulirekodi matukio 49, lakini katika mwaka wa uchaguzi wa 2025 tulirekodi matukio 173,” alisema.
Chanzo: The Citizen
Vyanzo vingine vinaeleza
Tanzania’s election-period internet shutdown cost over US $238 million, report warns
A new analysis by digital-rights group Paradigm Initiative estimates that Tanzania’s five-day election-period internet blackout and the ongoing suspension of X have cost the country more than US $238 million in lost productivity, trade, and digital services. The organisation says the restrictions have also undermined access to information and free expression, and urges authorities to fully restore services and avoid future disruptions, particularly during democratic processes.
Digital rights organisation Paradigm Initiative (PIN) has warned that Tanzania’s recent internet shutdown and ongoing suspension of the platform X (formerly Twitter) have had significant economic and human rights impacts. The disruptions occurred around the country’s election period and, according to PIN, have cost the Tanzanian economy more than US $238 million in lost productivity, trade, and digital services.
Figures cited by the organisation, based on NetBlocks’ Shutdown Cost Tool, estimate:
Regional mechanisms have previously urged governments not to block online access. PIN cites positions from the African Commission on Human and Peoples’ Rights and the Net Rights Coalition calling for uninterrupted connectivity during democratic processes.
Source: Cadeproject.org
Ripoti inaonyesha madhara makubwa katika uchumi, upatikanaji wa habari na uhuru wa kujieleza, huku wadau wakitaka hatua za kulinda mifumo ya mawasiliano kipindi cha uchaguzi.
Athari za kiuchumi zilikuwa kubwa. Ripoti inakadiria kuwa usumbufu wa huduma za intaneti na vizuizi vya majukwaa ya mitandao ulisababisha hasara ya zaidi ya dola milioni 250 (Tsh. bilioni 637.8) kwa uchumi wa Tanzania, ikijumuisha hasara zilizotokana na kusimamishwa kwa mtandao wa X pamoja na kuzimwa kwa intaneti katika kipindi cha uchaguzi.
Kuzimwa huko pia kulisababisha usumbufu katika huduma za fedha kwa njia ya simu na utumaji wa fedha kutoka nje ya nchi (remittances), ambazo ni mhimili muhimu wa uchumi usio rasmi wa Tanzania.
Mkurugenzi Mtendaji wa TMC, Asha Abinallah, alisema ripoti hiyo imeandaliwa na mashirika 26 ya kiraia chini ya Kundi Kazi la Utawala wa Mtandao Tanzania (Internet Governance Tanzania Working Group) kwa lengo la kufuatilia mwenendo wa utawala wa kidijitali nchini.
“Lengo letu ni kuonyesha hali halisi. Tulianza ripoti ya kwanza mwaka 2024 (ikazinduliwa 2025) ambapo tulirekodi matukio 49, lakini katika mwaka wa uchaguzi wa 2025 tulirekodi matukio 173,” alisema.
Chanzo: The Citizen
Vyanzo vingine vinaeleza
Tanzania’s election-period internet shutdown cost over US $238 million, report warns
A new analysis by digital-rights group Paradigm Initiative estimates that Tanzania’s five-day election-period internet blackout and the ongoing suspension of X have cost the country more than US $238 million in lost productivity, trade, and digital services. The organisation says the restrictions have also undermined access to information and free expression, and urges authorities to fully restore services and avoid future disruptions, particularly during democratic processes.
Digital rights organisation Paradigm Initiative (PIN) has warned that Tanzania’s recent internet shutdown and ongoing suspension of the platform X (formerly Twitter) have had significant economic and human rights impacts. The disruptions occurred around the country’s election period and, according to PIN, have cost the Tanzanian economy more than US $238 million in lost productivity, trade, and digital services.
5-day blackout and months-long platform block
Tanzania experienced a nationwide internet blackout from 29 October to 3 November 2025. While general access was restored on 3 November, PIN reports continued to experience bandwidth throttling in some regions. Access to X has been suspended since 21 May 2025, a restriction still in place.Figures cited by the organisation, based on NetBlocks’ Shutdown Cost Tool, estimate:
- US $72.3 million lost during the five-day election-period shutdown
- US $165.8 million lost due to the ongoing suspension of X
- Over US $238 million in total estimated economic losses
Rights implications
PIN argues that the blackouts undermine freedom of expression and access to information protected under the African Charter on Human and Peoples’ Rights and the International Covenant on Civil and Political Rights. The organisation adds that the shutdown also violates the right to development guaranteed in Article 22 of the African Charter.Regional mechanisms have previously urged governments not to block online access. PIN cites positions from the African Commission on Human and Peoples’ Rights and the Net Rights Coalition calling for uninterrupted connectivity during democratic processes.
Call for government action
Paradigm Initiative is urging Tanzanian authorities to:- fully restore access to X and all affected platforms
- refrain from future shutdowns, particularly during elections
- ensure transparency from telecom operators when restrictions are ordered
Broader trend
The development comes amid growing concern across Africa and globally about the use of internet restrictions during elections and periods of political tension. Digital-rights advocates argue that access to online services has become essential for democratic participation, public safety, and economic activity, and that prolonged shutdowns can have lasting effects on trust, investment, and civic freedoms.Source: Cadeproject.org