Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,218 Reaction score 859,606 Jan 11, 2021 #21 Sky Eclat said: Poleni wa wafiwa, haya matatizo ya kupumua yatokanayo na pneumonia ni hatari sana sasa hivi. Click to expand... Kolo..
Sky Eclat said: Poleni wa wafiwa, haya matatizo ya kupumua yatokanayo na pneumonia ni hatari sana sasa hivi. Click to expand... Kolo..
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,694 Reaction score 11,291 Jan 11, 2021 Thread starter #22 Kim Jon Un said: CHANGAMOTO YA KUVUTA NA KUTOA Click to expand... Usifanye assumptions ndugu,mzee wala hajafa ghafla,ni kutokana na uzee tu
Kim Jon Un said: CHANGAMOTO YA KUVUTA NA KUTOA Click to expand... Usifanye assumptions ndugu,mzee wala hajafa ghafla,ni kutokana na uzee tu
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,694 Reaction score 11,291 Jan 11, 2021 Thread starter #23 papason said: haya matatizo ya kupumua yanatumaliza kimya kimyaa tuu, jiwe kajificha Chatoo Click to expand... Ungekuwa unampata Prof Kanywanyi usingeandika hayo.
papason said: haya matatizo ya kupumua yanatumaliza kimya kimyaa tuu, jiwe kajificha Chatoo Click to expand... Ungekuwa unampata Prof Kanywanyi usingeandika hayo.
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,476 Reaction score 29,223 Jan 11, 2021 #24 R.i.p mwalimu wangu Sent using Jamii Forums mobile app
K Kokolo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2008 Posts 2,021 Reaction score 3,354 Jan 11, 2021 #25 Sosoma Jr said: Picha tafadhali kwa sisi tusiomjua Click to expand... Attachments IMG-20210111-WA0099.jpg 36.4 KB · Views: 12
M mtu mwenye moyo safi Member Joined Nov 12, 2020 Posts 30 Reaction score 20 Jan 11, 2021 #26 Pumzika kwa amani Emeritius Prof. Josephat L.Kanywanywi ulikuwa mwalimu hasa wa mfano
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,775 Reaction score 46,058 Jan 11, 2021 #27 Sky Eclat said: Poleni wa wafiwa, haya matatizo ya kupumua yatokanayo na pneumonia ni hatari sana sasa hivi. Click to expand... Tatizo maombi yalihusu corona peke yake. Pana haja ya kupanua wigo kuangalia mapema mapema.
Sky Eclat said: Poleni wa wafiwa, haya matatizo ya kupumua yatokanayo na pneumonia ni hatari sana sasa hivi. Click to expand... Tatizo maombi yalihusu corona peke yake. Pana haja ya kupanua wigo kuangalia mapema mapema.