Sasa uchaguzi wenyewe wanafanya, kusimamia na kugombea hao hao waliopindua unategemea mpinzani wa kiraia ana nafasi Ya kutangazwa mshindi hata akishinda!? Ni chaguzi hewa tu.Egypt imefanya military coups mara mbili tangu iwe republic ila hao marais wake wanadumu muda mrefu ama uchaguzi unafanyika kama kwingineko. Ni muda mchache unakuta wanaongozwa na military junta. Na jeshi lao liko independent kiuchumi hata bajeti linajitegemea, mfumo wao uko tofauti na kwingineko.
Ninachokikataa ni nchi kuongozwa kijeshi, sio wanajeshi kugombea nafasi za siasa. Marekani ina marais kama 30 hivi waliwahi kuwa wanajeshi hata General Eisenhower alitoka kuongoza Allied forces Europe kwenye WW2 akagombea na kuwa Rais.
Wewe mbona pesa huna wakati ni mjinga?Miaka hiyo wenye elimu walikua na nafasi ila kwa sasa ni pesa tu ndio maana kila kitu ni hovyo , pesa hata mjinga anaweza pata.
Msomi mkubwa Sana...Moja wa Wanajeshi wachache wasomi..
Acha uwongo wote hawatokei Ikizu.Duh! Inasikitisha sana huyu genious kututoka. Nilisoma na mdogo wake. Huyu bwana alikuwa neurosurgeon wa kwanza Tanzania. Enzi zake, alimaliza form 6 na division one ya kipekee akipata Physics A, Chemistry A, Biolology A.
Alipigania Jeshi kuwa na chuo kikuu chake hata akasababisha wanajeshi wengi kusoma kwa kiwango cha juu. Alikuwa Mkurugenzi mkuu wa Tume ya Science na Tekinolojia.
RIP professor. Mungu awajalie moyo wa hekima ya Mungu ili wayapokee mapenzi yake kwa moyo wa unyenyekevu na imani.
Makono rafiki yangu upo wapi, tumepoteana. Kama unaingia humu au mtu yeyote ana mawasiliano naye, tuwasiliane.
Najua Kamanda Siro hatakosekana kwenye msiba huu, maana wote wanatoka Ikizu kule Musoma.
Pole sana kwa kifo cha Kaka yetu.
Mwenye taarifa za taratibu za maziko, tafadhali atuwekee hapa ili tuliopo mbali tuanze kuangalia kama tutaweza kushiriki kumsindikiza huyu ndugu yetu.
Wewe mbona akili huna na una smart phone.Wewe mbona pesa huna wakati ni mjinga?
Ndio alifariki pale Lugaro , Mungu amhifadhi
USSR
Ulinzi magazini[emoji28][emoji28][emoji28]
Hawa mbululaz wanajifanya wajuaji kumbe ni zero.
Agustinoo R.Kulikua na huyu Mwamba mwingine;
Jaji Mkuu Zanzibar
Brigedia General
Jaji Mkuu wa Tanzania
President of African Court on Human and Peoples' Rights.
Episcopal vicar wa Dioces ya Dar es salaam
Mpiga Kinanda mahiri
Unataka kumaanisha nini hapa?CCTV ya pale kwenye hoteli Oyterbay iliifuta gari mpaka Mwenge kisha likatokomea.
Kamuulize Mambosasa.Unataka kumaanisha nini hapa?
ππ Kutokuwa na akili siyo ujinga. Ujinga ni kutokujua kitu chochote na hujui kama hujui kitu.Wewe mbona akili huna na una smart phone.
Kweli huna akili.ππ Kutokuwa na akili siyo ujinga. Ujinga ni kutokujua kitu chochote na hujui kama hujui kitu.
Mwambie mc ,aniite Kwa nguvu ataje mwelekeo ukiona nakufata ulipo ujue mimi
πHawa mbululaz wanajifanya wajuaji kumbe ni zero.
Taarifa rasmi ya NGOME inasema MNH,yeye kang'ang'ania Lugalo.
Mwamba alikua daktari tena neurosurgeon bado akaona haitoshi, akapiga na sheria. Mtu muhimu sana kwenye jeshi letu.
Rest in Power kamanda, thank you for your service!