Ninamkumbuka kwenye mgomo wa Madaktari wa MNH mwaka 2012 ambao uliongozwa na akina Dr Ulimboka. Prof Kohi na timu yake kutoka LugaloMilitary Hospital na kambi zingine wali fit in immediately na kuhakikisha kuwa huduma hazizorti. Binafsi ndiyo nilielewa maana ya kiapo cha Wabnajeshi