Ajali mbaya imetokea eneo la Taifa ambapo imehusisha boda boda, carry na noah na mwenye boda boda kufariki papo hapo.
Picha ya maiti sikuchukua maana inatisha.

Ungechukua tu Mkuu huenda ni yule mropokaji wa ufipa tupumue na mambo yake yasiyoeleweka,arudishe hela ya watu wazungu wamekuja na tunaendelea na mjadala.