Mashabiki wa Liverpool, mashabiki wa EPL pamoja na mashabiki wa mpira wa Miguu kwa ujumla kwa humu jamii forums. Uzi huu ni kwa ajili ya kumuenzi na kumkumbuka mchezaji wetu pendwa Diogo Jota. Weka picha, salam za pole kwa mashabiki wake, nk!
Kuna mibabu huko vyamani na serikalini imezeeka mpaka imechoka na bado ina kiu ya kuendelea kunywa damu za watanganyika inazidi kupeta tu huku vijana wadogo wasio na hatia kama.kina jota wanazimika
Kuna mibabu huko vyamani na serikali imezeeka mpaka imechoka na ina.kiu ya damu inazidi kupetq tu huku vijana wadogo wasio na hatia kama.kina jota wanazimika