You think so. Ingekuwa nchi nyingine, kwa tatizo la umeme tulillo nalo mbona ungekuta tayari? Tanzania ni nchi amani na utulivu.
Sisi swahili mingi no vitendo.tuta endelea kula vumbiBado Tanzania kumtoa Mkoloni Mweusi a.K.a Vasco Da Gama II au Zee la Anga
Hata hivyo tunaelekea sio kuzuri... saizi hali hapa inchini imekua mbaya mno!!
katika kila sector... hakuna kwa kupumulia, maisha yamepanda - vitu basics...
nauli, matibabu - sijui niseme nini?? On top of that kuna issue nzima ya UMEME...
Hali ni tete - na wananchi hawajawahi kua na interest with what is happening inchin
toka since kipindi cha Uhuru... kama ilivyo sasa... that interest is growing.. with an intensive hate.
Malawi is one of a peaciful country... watu wao wanaendana kidogo na TZ...
Ndio huwa wanakua na maandamano ya hapa na pale but in most cases peaciful
Nilipoisikia hii habari.. hapo hapo nikafikiria Tanzania yetu ambayo tumekalia
bomu liwezalo kulipaka wakati wowote.. au likawa dysfunctional kutegemea
saaana na utawala wa sasa utasolve vipi haya mambo.... Sad...
Agree but we still have a very log way to go. Isuue ya umeme, though ni cause of other associated problems, sidhani kama italeta mwamko b'se ni asilimia chache sana ya Watanzania wenye access na umeme. Wengine hawajawahi kuona hata nguzo ya umeme. Kwa hiyo ukimweleza shida za umeme sidhani kama atakuelewa. Kutokana na culture tuliyojijengea it will take time.
Issue ya umeme EMT is one of the major for "instance case"... Umeme tuna waze
sema Vs Mafuta ya taa (maana ndio alternative ya umeme in most cases)...
mafuta ya taa sasa hivi ni from 2000/= to 2100/= a litre!!! Huyu mwananchi
wa chini kabisa ana kipato gani cha kuweza sustain use of Paraffin????
Wale wasiokuwa na umeme wanaungua kwa mengine yalo yamsingi na muhimu pia... kama sio maji,
basi ni zahanati, kama sio shule basi ni kilimo (mara sijui vourchers zimefanya nini... Dah!)...
ama vyooote!! Majority are feeling the pinch ya maisha in one way or another....
Nadhani Watanzania tumekuwa wapole sana kwa serikali yetu. Serikali imejaa kibri na inajiona inaweza kufanya lolote kwa wananchi na bado inategemea kuwepo madarakani. Watanzania tunakuwa kama hatuna namna ya kuiwajibisha serikali yetu. Nadhani pia tatizo moja kubwa ambalo linatukabili ni kuwa tumekubali matatizo yanayotukabili kuwa part ya maisha yetu. Matokeo yake tunaishia kulalamika tuu bila kuchukua concrete action to eradicate the problems. Inapofikia hatua ya watu kama hao hapo kwenye picha picha kuyakubali matatizo kuwa part ya maisha then, there is nothing you can do about it.
I am Lmao with this pic!! Are these guys seriously serious??? Dah! Wangekua wanafanya
kitu productive at least i would have understood.... Drinking in such an evironment???
Sasa hata kama kweli Serkali imetuweka pabaya... do have to worsen it kijinga hivo??
Kuhusu uoga kwa Watanzani ni suala liko wazi na ni kweli… Majority have so much they
feel is at stake! Anaona akijihusisha saaana ataishia kua a GRAIN OF WHEAT (By the way
that book – inaonesha not all grains produce) Na hata viongozi as much as wana confidence saizi…
they have never been in such a pressure as waliopo saizi… hawana raha in their own kind of way…
Nakubali kua bado ni mapema BUT things like this anything can happen… hatuwezi jua…
hii kitu ikiendelea kwa mwendo huu infintly…. Do you sincerely believe Most watakua na a
‘NO CARE'attitude?? I don't think so… Si umeona uharibifu ulofanywa Mwanza juzi kati hapa
in the name of Machingaz… wakaharibu hadi mali za wanyonge wenzao… that in the past ten
years would have never been possible! Kama nilivo sema tumekalia bomu ambalo hatujui lipo hali gani…
Yep, that picture was taken recently kwenye zile mvua za hivi karibuni Dar. Dah! Umenikumsha mbali na "A Grain of Wheat" akina Karanja, Mumbi, the loner Mugo whose life was ruled by a dark secret, Gikonyo, Kihika without forgeting John Thompson, the fisadi of our days. Whether I believe most people don't care anymore, sure many believe things have fallen apart and that "It is no Longer at Ease" like it used to be. Some still believe "A Man of the People" will come around and rescue them. There are also those who believe that "The Beautiful Ones are not yet Born". But I believe the majority are afraid of "The Petals of Bloods" ndio maana tunasizitiza amani na utulivu.
Hata hivyo tunaelekea sio kuzuri... saizi hali hapa inchini imekua mbaya mno!!
katika kila sector... hakuna kwa kupumulia, maisha yamepanda - vitu basics...
nauli, matibabu - sijui niseme nini?? On top of that kuna issue nzima ya UMEME...
Hali ni tete - na wananchi hawajawahi kua na interest with what is happening inchin
toka since kipindi cha Uhuru... kama ilivyo sasa... that interest is growing.. with an intensive hate.
Malawi is one of a peaciful country... watu wao wanaendana kidogo na TZ...
Ndio huwa wanakua na maandamano ya hapa na pale but in most cases peaciful
Nilipoisikia hii habari.. hapo hapo nikafikiria Tanzania yetu ambayo tumekalia
bomu liwezalo kulipaka wakati wowote.. au likawa dysfunctional kutegemea
saaana na utawala wa sasa utasolve vipi haya mambo.... Sad...
Sasa AshaDii mbona mnatuchanganya na kutuzengua sisi tuliopo ughaibuni? Mara twaambiwa mrudi, mara the future is so bleak bakini hukohuko so which is which?