Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Toyota Rifine Chasser (Saloon car) for SALE in Arusha.
Make year:2000
Engine capacity:1988 CC (4 cylinders)
Color:White
Transmission:Automatic
Odometer:179,000KM
5 doors (5 seats)
Registration number: T969AYW
Gari imelipiwa kodi zote hadi 26/02/2016
Gari ipo kwenye hali nzuri sana na vitu vyote vinafanya kazi kama AC,Radio nk
Unaweza kuiona muda wowote utakapoihitaji pamoja na test drive.
BEI: 6.7 milioni (Milioni sita na Laki saba)Tshs
Mawasiliano:0752489529 au niPM
Hiyo bei na IST iuzweje?
Mkubwa Emilias kula 4MToyota Rifine Chaser (Saloon car) for SALE in Arusha.
Make year:2000
Engine capacity:1988 CC (4 cylinders)
Color:White
Transmission:Automatic
Odometer:179,000KM
5 doors (5 seats)
Registration number: T969AYW
Gari imelipiwa kodi zote hadi 26/02/2016
Gari ipo kwenye hali nzuri sana na vitu vyote vinafanya kazi kama AC,Radio nk
Unaweza kuiona muda wowote utakapoihitaji pamoja na test drive.
BEI: 6.7 milioni (Milioni sita na Laki saba)Tshs
Mawasiliano:0752489529 au niPM
Mkuu umeweka maelezo yako vizuri sana,kama vile umeitengeneza wewe aisee
Mkuu Gari hizi nzuri ila sema tu watu wamekimbilia kwenye Kiingia mji.
Na kwa vile ni 4 C basi ukishusha bei unaweza kupata wateja.
Halafu jazia picha mbili za ziada,moja ya nyuma,ingine ya ubavuni,maana wengine hizi Chassers wanaziona tu ila kutofautisha ndio issue
Mkubwa Emilias kula 4M
View attachment 299328View attachment 299331View attachment 299335
Asante mkuu Zanzibar Spices picha hizo hapo juu.Bei ya mwisho ni 6 milioni kwa kuwa nina uhitaji wa pesa ya haraka,otherwise ingekaa home kwa matumizi mengine.