CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Wadau huyo mtoto si yule aliyekuwa na watoto wenzake katika kipindi cha watoto cha ITV! Sasa huo uandishi wa habari ameusomea chuo gani? Naona anatangaza kipima joto!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

unataka chuo alichosomea au unataka kujua kama kasoma
Utangazaji ni kipaji
Utangazaji ni kipaji
ni kweli mkuu,kwani marehemu Amina chifupa alisomea wapi? bado alikuwa mtangazaji mzuri sana,
Mkuu siyo mwandishi na hapa kuna uchanganyaji wa mambo kuna tofauti kati ya mtangazaji na mwandishi,wale unaowaona wanatangaza either radioni au kwenye luningi siyo waandishi na hata mafunzo hutolewa tofauti chuoni,watangazaji wanasubiri waandishi watafute story apewe mtangazaji atangaze na walichojifunza sana ni sauti ila mwandishi amejifunza nini story!na siyo kila tukio ni story.Huyu mtoto just of recent last year alikuwa na watoto wenzake hapo ITV, leo ni mwandishi wa habari!