ohoo ohoo ooooo, huyo tapeli anawadanganya huyo, ipo hivi msimu ulio pita Mauya aliwapiga dakika ya 11 ya mchezo, kwenye ngao ya jamii Mayele na yeye akawatandika dakika ya 11, sasa game ya kesho ni tarehe 11, saa11 jioni …...apo kinyota ipo hivi kesho makolo wata uwawa si chini ya bao 2, yaani pona pona yenu kesho msikanyage uwanjani