fuatilia vizuri, kuna ambao imelazimu kupewa hifadhi maalum ili kuwa SalamaBangladesh hawajafukuzwa hao walohingya tatizo ni kwamba wameelemewa sana na wakimbizi kwa hiyo wameshindwa kuwahudumia wote ndio maana wakafunga mipaka kama unavyoona waarabu wanavyokwama ugiriki kwenda ulaya
Hii dini na wafuasi wake ni waajabu sana, wao wanatumia nguvu kueneza ka dini kao, ngoja wakione kilicho mtoa kanga manyoya shingoniKwanza hakuna sehemu inaitwa Rhohingya. Hilo ni kabila la kibangladesh lillilohamia Myanmar na kutaka Mabudha wawe waislamu sasa wanasomeshwa namba. Mabudha si watu wa kuchezea.
Ndio serikali !Kwann wafanye hivyo na hao mabudha wana nguvu gani???
Daaah...Rambo kafanya movie za Vietnam na Afghanistan tu !Sio itakuwa kama Rwanda ilishawahi kuwa kama Rwanda kama unazikumbuka movie za rambo zile zote ni hali halisi jinsi ilivyokuwa Myanmar hapo nyuma
Wacha uongo Mgalatia, hizo ni chuki tu za waabudu masanamu wenzio. Rohingya ni Waislaam wanao ishi vijijini, hawana fursa yoyote ya kimaslahi (hawamo serikalini wala kibiashara) wamefanywa raia daraja la mwisho. KirchhoffKwanza hakuna sehemu inaitwa Rhohingya. Hilo ni kabila la kibangladesh lillilohamia Myanmar na kutaka Mabudha wawe waislamu sasa wanasomeshwa namba. Mabudha si watu wa kuchezea.
Hawashambuliwi Bangladesh wacha uongo. Adha ya ukimbizi ndio ineleta usumbufu.ni kweli, lakini
tupe sababu maana hata nchi Ya Jiran (Bangladesh ) walikokimbilia wa rhohingya nako wameanza kushambuliwa, wanadhambi gani? si bure, kuna sababu
Mgalatia digba sowey wacha chuki na upotoshaji. Hao jamaa wana nyanyaswa na kunyimwa haki na kila fursa, wanapataje huo muda wa kueneza dini !?. Unaenezaje dini kwa majority yenye over 95% !?Hii dini na wafuasi wake ni waajabu sana, wao wanatumia nguvu kueneza ka dini kao, ngoja wakione kilicho mtoa kanga manyoya shingoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanza hakuna sehemu inaitwa Rhohingya. Hilo ni kabila la kibangladesh lillilohamia Myanmar na kutaka Mabudha wawe waislamu sasa wanasomeshwa namba. Mabudha si watu wa kuchezea.
wewe hufuatilii media, baadhi yao wamepelekwa sehem maalum kwa ajili Ya usalama wao baada Ya kushambuliwa na wenyejiHawashambuliwi Bangladesh wacha uongo. Adha ya ukimbizi ndio ineleta usumbufu.
CGTN (china) jana walikuwa wanaonyesha raia wakawaida wamejihamasisha na kukusanya nguo na chakula na kuwagaia ! Wanajeshi walikuwa wakifanya uandikishaji na kupima afya.wewe hufuatilii media, baadhi yao wamepelekwa sehem maalum kwa ajili Ya usalama wao baada Ya kushambuliwa na wenyeji
Na wewe uliye mbele ebu shusha nondo sasa..Ndugu yangu mleta uzi uko nyuma sana aisee,ishu inamiezi weye ndo waja kuulizia leo?
Kuna ISIS wa kikiristo na Kibudha wanaua waislam.Katika pitapita zangu internet nimekutana na hii habari watu kuuawa huko rhohingya na kupelekea kukimbia makazi yao kuelekea bangladesh huku lawama zikitupwa kwa serikari ya myanamar na UN..... Nini hasa kinaendelea huko????
Ukubwa wa Bangladesh unaingia hata Mara 20 kwa Tanzania, RAIA wa Bangladesh wanaoishi ndani ya nchi ni zaidi ya Milioni 100, RAIA wa Bangladesh wanaoishi nje ya nchi ni zaidi ya Milioni 100 pia....Bangladesh hawajafukuzwa hao walohingya tatizo ni kwamba wameelemewa sana na wakimbizi kwa hiyo wameshindwa kuwahudumia wote ndio maana wakafunga mipaka kama unavyoona waarabu wanavyokwama ugiriki kwenda ulaya
Ardhi yao ni tambarare wakiwa wamezunguukwa na mito mingi, mafuriko hayaepukiki !Ukubwa wa Bangladesh unaingia hata Mara 20 kwa Tanzania, RAIA wa Bangladesh wanaoishi ndani ya nchi ni zaidi ya Milioni 100, RAIA wa Bangladesh wanaoishi nje ya nchi ni zaidi ya Milioni 100 pia....
Ni kati ya nchi ambayo Serikali yake huwashawishi RAIA wake watoke kwenda kutafuta maisha nchi nyingine, coz Raia ni wengi na wamebanana huku ardhi ikiwa finyu....
Ukiacha hilo then ndo wamepata na mzigo wa Wakimbizi, so pressure imekuwa kubwa toka kwa Raia kuzuia Wakimbizi zaidi...
Japo Wakimbizi wenyewe asili yao haswa ni kutoka Bangladesh.