Rhohingya kuna nini????

Asclepius

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
694
Reaction score
730
Katika pitapita zangu internet nimekutana na hii habari watu kuuawa huko rhohingya na kupelekea kukimbia makazi yao kuelekea bangladesh huku lawama zikitupwa kwa serikari ya myanamar na UN..... Nini hasa kinaendelea huko????
 
Ni jamii ya mabudha walio wengi nchini myanmar ambao wamepanga kukifuta kizazi chote cha jamii ya walohingya walio wachache
Kwann wafanye hivyo na hao mabudha wana nguvu gani???
 
Katika pitapita zangu internet nimekutana na hii habari watu kuuawa huko rhohingya na kupelekea kukimbia makazi yao kuelekea bangladesh huku lawama zikitupwa kwa serikari ya myanamar na UN..... Nini hasa kinaendelea huko????
Rhohingya ni watu (ethnic group) wenyewe wanaishi kwenye moja ya majimbo ya Myanmar, jimbo lao linaitwa Rakhine. Huko ndo machafuko yanapotokea.

Hii issue nmeshindwa kuisemea chochote kwasababu sijui kinachoendelea... Zaidi ya habari za western medias, sina chanzo chochote kingine. Lakini pia, historia yao inaleta sintofahamu nyingi, after all hawa jamaa pia wana local militias zao ambazo nao inasemekana wamekuwa wakivamia vijiji vya watu wengine..!

So, hizi mambo inabidi niendelee kufatilia zaidi, kama nitataka kutoa maoni yasiyo biased based on religion, pity etc.
 
Kwanza hakuna sehemu inaitwa Rhohingya. Hilo ni kabila la kibangladesh lillilohamia Myanmar na kutaka Mabudha wawe waislamu sasa wanasomeshwa namba. Mabudha si watu wa kuchezea.
Vitu vingine ukiandika utumie kichwa cha juu.
 
Kwanza hakuna sehemu inaitwa Rhohingya. Hilo ni kabila la kibangladesh lillilohamia Myanmar na kutaka Mabudha wawe waislamu sasa wanasomeshwa namba. Mabudha si watu wa kuchezea.
Rohingya wanaishi magharibi ya nchi ya myanmar kwenye jimbo la rakhine state
 
Ndugu yangu mleta uzi uko nyuma sana aisee,ishu inamiezi weye ndo waja kuulizia leo?
 
Sawa mkuu em tafiti tafiti tupate kujua
 
Kwanza hakuna sehemu inaitwa Rhohingya. Hilo ni kabila la kibangladesh lillilohamia Myanmar na kutaka Mabudha wawe waislamu sasa wanasomeshwa namba. Mabudha si watu wa kuchezea.
aiseee
 
ni kweli, lakini
Ni jamii ya mabudha walio wengi nchini myanmar ambao wamepanga kukifuta kizazi chote cha jamii ya walohingya walio wachache
tupe sababu maana hata nchi Ya Jiran (Bangladesh ) walikokimbilia wa rhohingya nako wameanza kushambuliwa, wanadhambi gani? si bure, kuna sababu
 
ni kweli, lakini

tupe sababu maana hata nchi Ya Jiran (Bangladesh ) walikokimbilia wa rhohingya nako wameanza kushambuliwa, wanadhambi gani? si bure, kuna sababu
Bangladesh hawajafukuzwa hao walohingya tatizo ni kwamba wameelemewa sana na wakimbizi kwa hiyo wameshindwa kuwahudumia wote ndio maana wakafunga mipaka kama unavyoona waarabu wanavyokwama ugiriki kwenda ulaya
 
Kama wanachokifanya Brotherhood kwa Coptic pale Egypt na kwingineko kwenye upumbavu wa aina hiyo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…