Reuters na VOA wampeperusha Lowassa kimataifa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,993
Reaction score
12,045
Go President to be Edward Lowassa hakuna wa kuzuia mafuriko,wataelewa tu.

====

 
Ngoja ajichoreshe!.
Sasa wememweka usoni ili watu wamwone na kumfahamu kwa sura, mnashangilia. Watakapoanza kuchambua ufisadi wake na namna alivyoliingiza taifa katika janga, msianza kusema "wanachuki na visa binafsi, au wasiingilie mambo yetu ya ndani". Maana Ccm hamchelewi.

Raisi wa Tanzania hatoki ccm hata kwa dawa, sembuse huyu mwizi na fisadi mkuu???





Go President to be Edward Lowassa hakuna wa kuzuia mafuriko,wataelewa tu.
 

Hivi Obama alizindua mitambo gani pale Ubungo?

 
Go President to be Edward Lowassa hakuna wa kuzuia mafuriko,wataelewa tu.

Ameshaanza kutumia pesa alizoibia watanzania kuhonga huko ili kujiimarisha..!

Mpe taarifa kwamba, hatumhitaji kabisa.
 
Hivyo vyombo vya habari vya nje nao ni wale wale tu, ni vibaraka wa mataifa ya Magharibi wanaoshirikiana na mafisadi km Lowassa kuibia nchi zetu mali asili!
 
Penye udhia penyeza rupia kaka.....Juzi kuna picha ilisambaa sn kwenye whatsapp niipokea kutoka sehemu tofautitofauti km mara nane, inamuonesha boy mwenye mdogo km wa nguruwe anavinjari na mtoto mmoja mkali sana/mrembo mno but all in all kwa sababu ya pesa....
CNN, VOA, BBC, ALJAZEERA UKITAKA KURUSHWA UNARUSWA TU SI PESA YAKO?
 
The Chama Cha Mapinduzi party has ruled the East African nation since independence in 1961, and the fractious opposition is not expected to challenge its position in a parliamentary and presidential vote October 25.

Hilo ni pigo kubwa sana kwa ukawa. yaani ulimwengu mzima unafahamu kuwa upinzani hakuna kitu, sasa hizi kelele za humu za ukawa sijui huwa ni kwa mtazamo wa wapi. UKAWA KAENI CHINI!!!! you still have a very long way to go, nchi haiongozi kwa porojo za vijiweni.
 
Here he comes, Laigwanan... the Master and King of Tanzania Politics...

Mwenye nia aanze kuja uwanjani, ngoma ndio inaanza, yoote mlio sikia was just drizzle, the real torrential rain is about to start, we are expecting HEAVY FLOODS ALL OVER...!!
 

Tulia uzae wewe utaelewa tu ukishajifungua
 
Kwenye website hiyo habari imeandikwa mwanzoni kabisa kwamba mwandishi ni FUMBUKA NG'WANAKILALA. Sasa hapa kwenye jukwaa la JF hiyo habari ya mwandishi imefutwa.

Nadhani Fumbuka Ng'wanakilala ni mmoja wa wanaomuunga mkono Lowasa kwa sababu wanazojua wenyewe.

Hasafishiki huyo Richmonduli wenu. Ni fisadi tu. Hafai, na nchi ikishakombolewa ataweza kufikishwa mahakamani.
 


Siku Ulimwengu mzima ukafahamu mikwamo ya Raisi mtarajiwa utashabikia au utakaa Kimya.
Huna haja ya kuhangaika na UKAWA kwa sasa unajua kikulacho kinguoni Mwako.
Mshauri Mhe.avuke kwanza Tanuru la Dodoma.
CC Pasco

 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna nini Ikulu mtu akazanie na kulazimisha kwenda kiasi hiki,au maraisi wa aina hii ni kama wa Burundi akiingia hakubali kuuachia, yupo tayari kuwaua mpaka wananchi wake ilimradi awe kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…