Return your lost phone...

ni nzuri sana,hata mi ndio nai2mia,na kuna ile M-guard kwa ku block namba zote za simu ambazo hutaki wakupigie,muda wote ataambiwa simu ipo busy.

Yap nnayo.ni nyur m2 wangu
 
Sasa hyo software unainstall kwenye simu yako au computer? Je kama kwenye simu je mtu akiiflasha si ataiondoa hyo software? Na kama kwenye cmp kuna connection zipi hapo?

Una install ktk cm,m2 akiflash imekula kwako bt m2 hawez kuflash cm kam haimzngui..kam uta send command ya ku block bac itaflashiwa co itabid uc2me command ya kublock..thn mambo yanakua hiv..katka ant lost utatakiwa kuweka namba ya rafiki yko ambyo itakua ni reporting number kwamba pale cm card itakapo badlishwa bac taarifa za kubadlishwa kwa cm card yko ztatumwa kwa rafik yko..ant lost automatically itatuma sms kwa rafki yko kwamba cm card ya rafki yko imebadilshwa hivyo contact wic him o her..xo wew utaenda kwa rafik yko ambye uliweka no yke as reporting no na kumbuka cm card itakayo badlishwa ndyo ant lost itai2mia ku2ma sms xo kwa rafki yko itaonekana sender no ambyo ndo iyo no ya mwiz xo utakua umeipata namb iliyo hewan ktk cm yko ktk cm ya rafki yko..download it utapata more information..n how u can trace it and other option..
 
Sasa hyo software unainstall kwenye simu yako au computer? Je kama kwenye simu je mtu akiiflasha si ataiondoa hyo software? Na kama kwenye cmp kuna connection zipi hapo?
inawekwa kwenye simu,ila kuna sehemu kwenye setting utatakiwa kuingiza namba ya cm nyingine ambayo taarifa za kupotea zitatumwa,ikiwa ni pamoja na namba ya hiyo cm card mpya.
 
Vp mkuu nami natumia Sony Ericsson P990i Original je itakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…