Hapo ni kwa simi original kaka.... mchina haingizi mguu hapa hata kidogo....
kwa kutumia hii apps ya netqin antvirus utaweza
1.kudelete data zko zte ktk cm yko iliyo ibiwa,include photo,video,contact,sms na music.
2.utaweza kupata namba ya mtumiaji wa cm yko iliyo ibiwa..yaan pale tu lain itakapo bdilishwa bac utapata kujua namba ya mtu anaye tumia cm yko..so ukiamua unaweza kumpgia na kumpga mkwara ili arudshe cm yko.
3.pia utaweza ku trace cm yko na kujua location husika..
4.pia utaweza ku send command ya block simu yko.
Ingia netqin.com
PAXAKA NJEMA JAMAN!
ntajuaje phone yangu ni Symbian, Android etc? mi natumia nokia X2 je iko category gani?Hii ni kwa ajili ya smartphones tu zinazotumia operating system ya Symbian, Windows Mobile, Android na Blackberry
ntajuaje phone yangu ni Symbian, Android etc? mi natumia nokia X2 je iko category gani?