J JOSEDIZOZ Senior Member Joined Dec 29, 2012 Posts 134 Reaction score 30 Jan 26, 2013 #1 habari wa JF kwa mwenye tips za kutosha tafadhali.kufungua duka la bidhaa zitumikazo majumbani na binadam kila cku laweza nigarim kias gani kwa kuanzia.na linatoa faida kiasi gani kw cku nikiweka na huduma ya M PESA na nynginezo?naomba kuwasilisha.
habari wa JF kwa mwenye tips za kutosha tafadhali.kufungua duka la bidhaa zitumikazo majumbani na binadam kila cku laweza nigarim kias gani kwa kuanzia.na linatoa faida kiasi gani kw cku nikiweka na huduma ya M PESA na nynginezo?naomba kuwasilisha.