Restuta Bura Kweka almaarufu "Resty Fish BBQ" ni nani haswa?

ngaiwoye

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
1,748
2,436
Dada/mama huyu amekuwa maarufu Sana kwenye mitandao ya kijamii Kama mfanyabiashara maarufu wa chakula na vinywaji, pia vipodozi.

Wakati fulani alimkodishia Diamond Platnamz ghorofa lake zuri sana ambalo ndio ofisi za Wasafi. Anaonekana ni very successful businesswoman, tajiri mkubwa haswa ukiiangalia namna anavyospend na mume wake mpenzi. Mara yupo Dubai, mara visiwa vya Malves, saizi yupo mbugani for wedding anniversary.

Kila weekend yupo kwenye mahotel makubwa kama Serena, Hyatt akipata raha.

Jamani huyu ni nani haswa?

1608641872778.png

1608641930512.png

Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.

Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.
 
Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.
Pesa pesa pesa pesa
 
Fanya kazi upate kuishi......hapa tunajadili ISSUES hatujadili watu
Yeye lazima tumjadili maana anawapa chachu ya maendeleo Wanawake wenzake,, tumjue je ni kweli yale anayoonyesha mitandaoni anavyoishi??? Ili kusudi wamama wenzie wakifata nyayo zake na wenyewe watusue maisha Kama yeye. Ile ghorofa ya diamond sio mchezo
 
Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.
Mbeba mapochi mbona hujamzungumzia?
 
Hilo orofa walilopanga kina wasafi radio mbao zinasema ni la baba mtoto wake wa kwanza ambae inasemakana yupo ngome anatumikia muda ila mwanae ndio mrithi kwahiyo Resty kama mama yake anasimamia kuchukua kodi. Wasemavyo walimwengu. Pamoja na kuwa wengi wanafake maisha mitandaoni ila anajitahidi sana kutumia fursa kama mwanamama hongera zake.
 
Resty ni mwanamke mmoja mzuri sana kuliko hata picha zinavyomtoa,Si unajua tena wairaq aka wambulu walivyo pisi kali..Mbali na hayo ni mjasiriamali anakampuni ya insurance,kampuni ya usafi,hiyo bar yake pia na mambo kedekede anayayofanya ya kumuingizia pesa.Ila bana tuacheni majungu kwani ni sh ngap mpaka ule bata kama za resty ni mipango tu na malengo.Weka budget yako vizuri,fanya booking mapema.Mbona utakua unakula mema ya dunia kwa pesa ndogo tu.Restusta endelea kula bata kwa raha zako.
Sema ana mwili mkubwa tembo yaani
 
Back
Top Bottom