Rest In Peace Yallunder

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,132
Reaction score
10,514
Ukiachana na msiba wa Zahara basi huu ni msiba mwingine ambao unazidi kutuumiza na kutupunguzia vipaji ndani ya Afrika.

Yolanda Nyembezi amefariki akiwa na umri mdogo kweli tena akiwa kwenye peak yake ya safari ya muziki.

Yallunder tutakukumbuka kwa sauti tamu kwenye nyimbo zako, iThuba, Xola, Emaphupheni Am, Isifiso, pamoja na Uyang'Jikela.

Tulipenda sana tuendele kukusikiliza ukitoka nyimbo mpya ila kifo kimekubeba mpendwa! Pumzika African princess πŸ˜”
 
Q
Amekufa na nini?!
 
Q

Amekufa na nini?!
Familia yake imetoa statement hii πŸ‘‡πŸ‘‡

Ingawa watu wanasema aliumwa ghafla na kulazwa mpaka tulipopata taarifa kuwa amefariki
 
So young πŸ˜” Pokea maua yako 🌼 🌸 🌻 🌹 🏡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…