Jaman nimeumia sana kwa kweli, inabidi JF mnichangie ela angalau nikawakilishe uko kwenye msiba jaman, its soo sad kwa kwel, my tigo ni 0657218890, kwa atakayekugwa jaman
WARUMI usitutanie sasa tukishakuchangia sasa tutajuaje kama utaenda?toa maelezo ya kina...pesa zipo//wewe tu kutushawishi otherwise pole sana JULIANA the woman with sweetest VOICE EVER!!