wickerman
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 408
- 252
Niaje wakuu,
Ni muda mrefu sijapost kitu humu. Leo nakuja na swala moja tu ambalo Kwa developers ni muhimu.
Je kuna APIs zozote specifically kwa Tanzania?
Mfano, tuna news network nyingi sana Mwananchi, Citizen, Nipashe n.k. Swali ni je kuna Interface zozote in place ambazo zinaweza kusaidia developers wa Tanzania ku tengeneza application mahiri zaidi kwa ajili ya kudeliver service hizi kwa njia bora?
Mfano kuliko kutumia webviews kwenye news Apps, kukawa na native support ya vitu baadhi mfano news zinaweza kuwa saved hata kwenye a local database( for offline access) au kuwa synced na mtu akapata notifications na hata ku follow topics kadhaa. Je ni kwamba mitandao yetu Tanzania haina capability hiyo ya kutengeneza hizo APIs? Au ni kwamba hawaoni mbali.
Kwasabab sometimes kuwa na Interfaces kama hizi kuna saidia kwamba users wakapata apps zenye mvuto bora kuliko hata ambazo zimetengenezwa na network husika. Na mtu unakua na options nyingi nyingi za kuchagua ipi nzuri kwako.
Ishu nyengine pia ni kama una fahamu baadhi ya Interfaces kama hizo za hapa Tanzania, naomba uweke kwenye comment and nitazi-include hapa kwenye main post.
Shukrani kwa kusoma.