Respect to All Mothers

Duuh respect ot all mothers lakini nyuma ya mama lazima tumpe hongera responsible father/husband maana bila wao sisi hatuna wa kumdekea tukiwa wajawazito

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure responsible fathers wanawapa faraja sana wamama wakiwa wajawazito. Salute kwao
 
Hongereni wamama wote, hongereni responsible and caring father, hakuna wakati ambao huwa tunawahitaji kama huu, kubeba ujauzito miezi tisa si jambo jepesi, baba jitahidi kukaa karibu na mama kwa kila hali.

Napenda kuwa mama asante Mungu kwa kunikumbuka katika wengi wanaokuomba watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Appreciate
 
Hahahaaa
Hakuna part mbaya kama kulia
Unaweza ukaulizwa jina tu
Machozi yanashuka kama mvua...

Kudos to all responsible father's
Mimba ilikua ndogo kuna mtu aligundua aaniambia F una mimba, Nililiaaa acha tu. acheni kubeba mtu miezi tisa MUNGU ndie anaejua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…