Kwa kuongezea tu hapo kwenye STATEMENT OF THE PROBLEM ndipo panaweza kufanya research proposal yaako ikubalike au lah.
Hapo unatakiwa kutuambia general situatio yaan hali ikoje mfano kwa hao local vendors tuambie how the situation is in local vending. Then tuambie what has been done au any strategies put forward. halafu tuambie what has not been done. sasa kwa kifupi hapo utakuwa umepata RESEARCH GAP ambayo wewe utaenda kui feel.
NB: Ku-cite ni lazima kwa section hii, usitoe vitu kichwani sema nani alifanya nini na lini.